Payoneer Verification Document

Payoneer Verification Document

Kerosine Bal

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2014
Posts
247
Reaction score
231
Wanajamvi nawasalimu ....
Katika pitapita zangu za utafutaji nitokea hapa kwa hawa jamaa PAYONEER wallet. Nimefungua akaunt vizuri ishu ikaanza kwenye kuverify document kati ya hizi
  • utility bill
  • bank document
Nimejaribu kuattach bank statement ya nmb ikagoma zaidi ya mara 5 na sasa equity bank imegoma pia.

NAOMBENI MSAADA
 
Verification ni kwa ajili ya address?
Kama ni address jaribu kuwacheki vijana wa mjini wanatengeneza hizo utility bill fasta.
Kama huwezi lipa ili utengenezewe basi nenda bank husika urekebishe taarifa zako.
Zisomeke kwa mfumo huu;

KEROSINE BAL,
6 FOUR WAYS ROAD,NKUHUNGU
41XXX,
P.O.BOX 6788,
4144 DODOMA
Hizo taarifa zionekane. Address iwe inahusisha postal address sio P.O box pekee...
Good luck
 
Wengine wanaweza kuwa na njia tofauti na yangu, lakini kwa Payoneer hakikisha anwani uliyoandika kwenye website ya Payoneer na ile kwenye Bank Statement haina "P.O.Box" inapaswa iwe kwa mfano:

Michael Adam
Mbezi Salasala
Ilala
Dar es Salaam
Tanzania

Nenda uongee na Customer care wa benki yako wakupe process za kubadilisha, unaweza pia ukawaelezea jinsi unavyotaka bank statement yako ifanane kwenye upande wa Anwani na wanaweza kukusaidia. Mimi nilikaa nao na nikawaandikia jinsi inavyopaswa kuwa na wakanisaidia.
 
Asante sana, wakati nasubiri j4. Hao watoto wa mjini nawahitaji boss
 
Wengine wanaweza kuwa na njia tofauti na yangu, lakini kwa Payoneer hakikisha anwani uliyoandika kwenye website ya Payoneer na ile kwenye Bank Statement haina "P.O.Box" inapaswa iwe kwa mfano:

Michael Adam
Mbezi Salasala
Ilala
Dar es Salaam
Tanzania

Nenda uongee na Customer care wa benki yako wakupe process za kubadilisha, unaweza pia ukawaelezea jinsi unavyotaka bank statement yako ifanane kwenye upande wa Anwani na wanaweza kukusaidia. Mimi nilikaa nao na nikawaandikia jinsi inavyopaswa kuwa na wakanisaidia.
Asante boss. Ngoja nisubiri j4
 
Verification ni kwa ajili ya address?
Kama ni address jaribu kuwacheki vijana wa mjini wanatengeneza hizo utility bill fasta.
Kama huwezi lipa ili utengenezewe basi nenda bank husika urekebishe taarifa zako.
Zisomeke kwa mfumo huu;

KEROSINE BAL,
6 FOUR WAYS ROAD,NKUHUNGU
41XXX,
P.O.BOX 6788,
4144 DODOMA
Hizo taarifa zionekane. Address iwe inahusisha postal address sio P.O box pekee...
Good luck
Nawezaje kuwapata Vijana wa Mjini kwa ajili ya Utility bill ?
 
Mkuu mi natengeneza izo Document za kuverify proof of address kwenye Payoneer Accounts au Kwa broker yoyote kwenye Forex Njoo inbox, Gharama 4000/= 🔥 au unaweza nitafuta Whatsapp yangu +255769280955
IMG_20240628_203138.jpg
 
Back
Top Bottom