PayPal kusitisha malipo kutoka USA kwenda Ulaya kwa sababu ya thamani ya Euro kushuka

PayPal kusitisha malipo kutoka USA kwenda Ulaya kwa sababu ya thamani ya Euro kushuka

Suzy Elias

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2021
Posts
1,067
Reaction score
6,200
Ni kuanzia tarehe 31 mwezi ujao wa Oktoba na sababu kubwa ni thamani ya euro kuendelea kuporomoka jambo ambalo linawapa wasiwasi.

Baadhi ya wateja wa PayPal huko Ulaya wameanza kujulishwa kupitia jumbe na baadhi ya kadi zao zimeanza kufungwa.

NB: Ni wazi sasa Putin anaelekea kushinda vita ya uchumi na Ulaya.

20220908_142242.jpg
 
20220908_142242.jpg

PayPal kuanzia tarehe 31 Oktoba mwaka huu wanatasitisha malipo yeyote kutoka USA kwenda Ulaya kwa sababu ya thamani ya Euro kuendelea kuporomoka sababu kuu ikiwa vikwazo vya Ulaya kwa Urusi.

Tuwajulishe ndugu zetu waliopo Ulaya kuhusu hilo.

NB: Putin kawashika pabaya wazungu.
 
View attachment 2350109

Kwakweli euro imeporomoka kinoma na paypal washenzi kuna ela yangu wameihold kwa siku 21 ni euro sijui mpaka wanairelease itakuwa imeshuka kiasi gan.
 
Hakuna kitu hapo, kushuka na kupanda kwa sarafu ni kitu cha kawaida kabisa hata Ruble tayari imeanza kushuka thamani.
 
View attachment 2350109

PayPal kuanzia tarehe 31 Oktoba mwaka huu wanatasitisha malipo yeyote kutoka USA kwenda Ulaya kwa sababu ya thamani ya Euro kuendelea kuporomoka sababu kuu ikiwa vikwazo vya Ulaya kwa Urusi.

Tuwajulishe ndugu zetu waliopo Ulaya kuhusu hilo.

NB: Putin kawashika pabaya wazungu.
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
IMG_20220909_110452_598.jpg
 
Back
Top Bottom