Paypal Tanzania

mambo ya nyakati

Senior Member
Joined
Aug 24, 2022
Posts
115
Reaction score
146
Habar wakuu,

Juzi hapa nimefungua Paypal kwamara ya kwanza, nikaunga na VISA card IlA sasa nikitaka kutuma pesa au malipo yoyote kwa kutumia paypal hela inakatwa kwenye VISA card niliyounga.

Je, nauliza nikipokea pesa kwenye paypal yangu inaingia moja kwamoja kwenye VISA card au inakuwaje?

Na je, kama inaingia kwenye VISA maana yake naweza kutoa tu mojakwamoja hela kwa mpesa kwa kuitoa kwenye VISA?

Naombeni msaada wenu.
Asante.
 
Sasa wise una connect vipi na paypal

Fungua business paypal account address jaza lesotho.


Itakupa option ya ku add credit card utaweka ya tz.


Pia utapewa option ya kuadd USA bank account hapo ndo utaweka ya wise.


Ukiunganisha na account yako ya wise ni ngumu sana kufungiwa account yako coz wanajua upo USA.
 
mimi nilifungulia philipine na kila mda fulani wananipaga $3 hadi kumi freee issue nilitaka kufaham kuzileta kwa tz!!? ikafika stage nikaona niwe nafanya matumizi tu ya online
 
Nilipokeaga hela $20 walizizuia mpaka nilipo submit docoments uzuri nilifungulia philipine but docoments za tz .wakumbushe kuweka docoments og za tz ili wakizuia iwe rahisi kuomba kuachiwa mzigo wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…