Paypal Tanzania

Paypal Tanzania

Wise.com process zikoje kufungua account ya company wanataka document za compny hapo unarukaje?
Hauwezi kutoa (kupokea) hela kwa paypal ukiwa tz


Cha kufanya jiunge na paypal kama unaishi lesotho ,unganisha na kadi yako ya tz

Then unganisha na account yako ya bank ya USA ambayo utaipata wise.comView attachment 2489260

Chini ni limits za account yangu ya paypal
 
Hapo documents zako unatakiwa kuwa na passport ya kusafiria au Nida ID, proof of address (bank statement, bill za maji zinazosoma jina lako)

Mimi nitakufanyia haya yoote yaliobaki.
1. Kusajiri kampuni UK
2. Kupata address UK
3. Kupata Uk phone number
4. Kupata WISE business account

Hayo yoote unayapata kwa $150 (Tsh 350,000) Tu.

Pia unawa sajiri kampuni US kutumia haya makampuni
1. Stripe atlas = $500 + kodi $100 kila mwaka
2. Doola = $199 + kodi $99 to $150
3. Freelancer wa fiver. Nk wanachaji $150 to 500
Mawasiliano tafadhari mkuu..nataka unifungulie kampuni UK
 
Habar wakuu,

Juzi hapa nimefungua Paypal kwamara ya kwanza, nikaunga na VISA card IlA sasa nikitaka kutuma pesa au malipo yoyote kwa kutumia paypal hela inakatwa kwenye VISA card niliyounga.

Je, nauliza nikipokea pesa kwenye paypal yangu inaingia moja kwamoja kwenye VISA card au inakuwaje?

Na je, kama inaingia kwenye VISA maana yake naweza kutoa tu mojakwamoja hela kwa mpesa kwa kuitoa kwenye VISA?

Naombeni msaada wenu.
Asante.
paypal bongo unapokea refund tu
 
Tunahitaji kwenda kwa spidi kama wenzetu
Ni kweli tuko nyuma Sana. Yaani sheria za kifedha za nchi zinaruhusu pesa kutoka nje ila pesa kuingia hazitaki.
Hii kitu inawanyima fursa Sana vijana waliojiajiri kama freelancers.
 
Back
Top Bottom