Hauwezi kutoa (kupokea) hela kwa paypal ukiwa tz
Cha kufanya jiunge na paypal kama unaishi lesotho ,unganisha na kadi yako ya tz
Then unganisha na account yako ya bank ya USA ambayo utaipata wise.comView attachment 2489260
Chini ni limits za account yangu ya paypal
Mawasiliano tafadhari mkuu..nataka unifungulie kampuni UKHapo documents zako unatakiwa kuwa na passport ya kusafiria au Nida ID, proof of address (bank statement, bill za maji zinazosoma jina lako)
Mimi nitakufanyia haya yoote yaliobaki.
1. Kusajiri kampuni UK
2. Kupata address UK
3. Kupata Uk phone number
4. Kupata WISE business account
Hayo yoote unayapata kwa $150 (Tsh 350,000) Tu.
Pia unawa sajiri kampuni US kutumia haya makampuni
1. Stripe atlas = $500 + kodi $100 kila mwaka
2. Doola = $199 + kodi $99 to $150
3. Freelancer wa fiver. Nk wanachaji $150 to 500
paypal bongo unapokea refund tuHabar wakuu,
Juzi hapa nimefungua Paypal kwamara ya kwanza, nikaunga na VISA card IlA sasa nikitaka kutuma pesa au malipo yoyote kwa kutumia paypal hela inakatwa kwenye VISA card niliyounga.
Je, nauliza nikipokea pesa kwenye paypal yangu inaingia moja kwamoja kwenye VISA card au inakuwaje?
Na je, kama inaingia kwenye VISA maana yake naweza kutoa tu mojakwamoja hela kwa mpesa kwa kuitoa kwenye VISA?
Naombeni msaada wenu.
Asante.
0762363062 nichek bossUlikosea process mimi kila mwezi napokea zaidi ya $1000 na hakuna shida yoyote.View attachment 2537153
Ni kweli tuko nyuma Sana. Yaani sheria za kifedha za nchi zinaruhusu pesa kutoka nje ila pesa kuingia hazitaki.Tunahitaji kwenda kwa spidi kama wenzetu
Hello kaka, check out inboxWise.com process zikoje kufungua account ya company wanataka document za compny hapo unarukaje?