PayPal to M-Pesa project - Lets discuss

PayPal to M-Pesa project - Lets discuss

Daaaah, naona hapa mnaongea kitu ambacho hakiwezekani.
Jaribu kucreate account ya paypal ukidanganya kuwa uko nje ya bongo kwa kutumia VPN au TOR then utaona watakapo kukamatia. Paypal wanauliza nationality yako na lazima utume nyaraka zote, usipofanya hivyo baada tu ya kutengeneza account yako kwa kucheat nchi acc yako inakua blocked. Nimejaribu saaaaaaaaana hizi zote mnazosema hapa.

Lastly, herman3 rudi tena ufuatilie kiundani system unayotaka kudeal nayo, na sahau kuhusu kubypass BOT unless umejandaa kukabiliana na kesi ya Money Laundering.
Nina zaidi ya account tatu za paypal kwahiyo najua ninalozungumza. Huhitaji kutumia VPN kwa sasa kucreate paypal account, wata kublock. We chagua nchi bila kutumia vpn.
 
Sawa, so umecreate account kwa kuchagua nje ya bongo na hio account inapokea pesa ama? Kama ulitumia documents za mtu kuverify au kama una uraia wa hio nchi ulochagua nitakubali unaweza tumia hio account lkn kinyume na hapo utachezea block tu
 
nimecreate account nikiwa hapahapa bongo, adress nimeweka ya kenya na sina document ya mtu yoyote na ishapokea zaidi ya dollar 2000
 
Your clock is ticking. At one point you're going to be requested to submit proof of business which is a utility bill with the address you have put in there. Kuna threshold ukiipita tu inatrigger this. I also made transactions nyingi tu, probably around 3-5k i think. It is bound to happen. Na nikushauri at this point don't keep hela nyingi in there, maana when it hits ni hutazipata. Hata wenye hizi legal utility documents tu inawachukua muda mrefu kukamilisha na kuwa aproved with some taking months, kwako ambae hauna it's a nail in the coffin.
 
Washaniomba na nishawapa. Mimi nishaverify vitu kibao na proof of address nazojichimbia kwenye illustrator na photoshop nikatengeneza.
Kuanzia payoneer, skrill, mpaka freelancer, Na nikwambie tu ni kuwa inategemea pesa unayopokea inatoka wapi. Pesa inayotumwa kutoka personal account kwao wanaona ina risk kuliko inayotoka kwenye makapuni yenye reputation kama freelancer, kantar futures. Mimi pesa ya paypal nyingi inatokea huko. Ni mara chacke nipokee pesa kutoka personal account na nikipokea uwa nahakikisha haizid usd 100-150
 
Umeverify address na utility bill katika account na ikawa approved?
 
Do you mind showing me proof of having the account verified? I might have a thing or two to learn after all
1605470021960.png
 
Najaribu kustructure project ya kuwezesha kutoa pesa za PayPal hapa TZ, kwa kuwa kwa sasa haiwezekani ila tunaweza take advantage ya kutumia product hizi 3 kufanikisha
1. M-Pesa open API
2. DirectPay API
3. PayPal API

ambapo itakuwa hivi

1. kwa kuwa M-Pesa API inaruhusu huduma C2B, B2B, B2C nk, itawezesha mteja kupokea malipo yake moja kwa moja
2. Kwa kuwa Direct Pay API inapokea malipo kutoka PayPal na unaweza track all transaction via API, hii itawezesha automatic confirmation ya mteja aliye withdraw pesa zake kwenye PayPal kwa kulipa kwenye Direct Pay account ambayo inatumika kufanya collection ya PayPal money. Pia, via listener URL utaweza kujua kama payment zimefanyika then API ita_fire M-Pesa API na ita call B2C API ambayo ita release pesa kwa account ya M-Pesa ya mteja.

the following is just a simple structure ya itavyokuwa kama una idea ya kuchangia ili tufanye kitu iweke hapa
NB: nimeshafanya integration kadhaa za Paypal, Direct Pay, lakini pia nimeplay na M-Pesa API sandbox so nina 70% za uhakika kuwa it is possible.

View attachment 1625450
Mi ndio sielewi kitu B2B, C2B, B2C!
 
Mm pia nateseka nikiwa nchini kwangu tanzania nimepoteza $100 niliyoiangaikia mtandaoni.sababu Paypal ipokei el ukiw tanzania ikabidi nitumie option 2 nikatumiwa elayangu kwa...... paysafe card ....apo ndiko niliko pigwa na wajanya wakati nafanya mchakato wakuitoa aya yasingenikuta km ela ingetumwa direct kweny pay pal na jana km jana nimeikosa $25 niliyo fanikiwa kuipata pia sababu huo mtandao unalipa via PayPal tu serikari watusaidie kuruhusu paypal Tanzania mana swala laajira lishawashinda watusaidie tujiajiri wenyew bc
 
Tafta line ya safaricom fungua account ya paypal kwa jina la hiyo line.
Wajanja walikupga vipi kwenye paysafe card
 
Back
Top Bottom