PAYPAL: Watanzania hawawezi kupokea hela

Mparee2

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2012
Posts
3,092
Reaction score
5,386
Habari wapendwa,
Nilikuwa natembelea mtandao wa PAYPAL nikagundua kuwa watanzania wanaruhusiwa kutumia huduma ya Paypal ambayo imeonekana kuwa salama sana kwa kuepusha kutapeliwa

LAKINI Ikitokea mteja uliyefanya naye biashara anataka kutapeli, PAYPAL huchukua jukumu la kurudishia hela kwa mteja; Kilichonishangaza eti kwa Tanzania ipo kwenye Nchi ambazo mteja hawezi KURUDISHIWA HELA ZAKE...Sijaelewa hapo tatizo lipo wapi kwani jirani zetu KENYA, Africa kusini nk wao hufanya biashara kwa kujiamini kwani ikitokea tatizo hurudishiwa hela zao moja kwa moja kwenye account zao.

Kwa anayejua sababu anijuze.... na kama ilikuwa sheria ya Zamani, wanaohusika sasa waende na wakati kwa kuruhusu hela zirudi Nchini ili watu wafanye biashara na kunufaika bila kuogopa kutapeliwa
 
Hujaelewa vizuri wewe

Reversal ya transaction ambayo ndo paypal refund inafanyika bila shida yoyote kwa account ya paypal duniani kote.

Ila Tanzania hatuna uweza wa ku pokea paypal funds toka kwenye account nyingine ya paypal au toka kwenye account number yako. Kwa lugha nyingine ni hatuwezi kufanya money transfer from a different paypal account au account ya benki ila paypal refund unapata tu mkuu

Nadhani unaelewa tofauti ya You can not receive funds na You can not Receive a Refund
 
Asante kwa ufafanuzi, hii inamaana payment iki bounce unarudishiwa ILA mtanzania hawezi kufanya mauzo au kuuza bidhaa kule mtandaoni na kupokea malipo kupitia paypal ni sawa?
Na kama ni sawa pia inanyima watanzania Fursa ya kufanya Biashara kule mtandaoni
labda kwa kulipwa direct bila kupitia paypal ambapo sio rahisi kuaminika kiasi hicho
 
Thanks boss hfu nlikupm siku moja ukanichinjia baharini ila najua tatizo lilikua ni kunipa contacts zako
 
Hujaelewa vizuri wewe

Reversal ya transaction ambayo ndo paypal refund inafanyika bila shida yoyote kwa account ya paypal duniani kote.

Ila Tanzania hatuna uweza wa ku pokea paypal funds toka kwenye account nyingine ya paypal au toka kwenye account number yako. Kwa lugha nyingine ni hatuwezi kufanya money transfer from a different paypal account au account ya benki ila paypal refund unapata tu mkuu

Nadhani unaelewa tofauti ya You can not receive funds na You can not Receive a Refund
. mm nipo NMB na refund zangu zinarudi kama kawa..nenda kachukue bank statement utaziona
 
Hivi umesoma post yangu vizuri au umejibu bila kusoma?

Just to update you hata hiyo statement huwa siendi kuchukua bali napakua online.

Tofautisha kati ya haya maneno na wewe "You can not receive fund na You can not receive a Refund"

Paypal Tanzania ina accept full refund au partial refund and the fund do not credit your paypal account bali zinaenda straight kwa bank yako.
 
Kwa mtu yeyote mwenye pesa kwenye account yake ya Paypal na anashindwa kuzitoa, mimi nanunua hizo pesa kwa makato ya 5%. Unanitumia mimi then mimi nakurushia kwa tigo pesa kwa kukata asilimia tano, kama unataka kuuza kitu online na mtu wako kasema hawezi kutuma pesa kwa njia yoyote ile isipokuwa paypal basi nitakupa email yangu atatupa pesa kwangu kisha mimi nitakata 5% na malipo yako ntakutumia kwa tigo pesa. Karibuni sana
 
Sina PayPal account ila nataka nimtumie mtu hela kwa njia ya PayPal

Hii inawezekana VP?
 
Anatakiwa akupe email yake aliyoregister kwenye paypal, utakachofanya ni kwenda kwenye option ya Send Money then weka email yake na amount
 
Hujaelewa vizuri wewe

Reversal ya transaction ambayo ndo paypal refund inafanyika bila shida yoyote kwa account ya paypal duniani kote.

Ila Tanzania hatuna uweza wa ku pokea paypal funds toka kwenye account nyingine ya paypal au toka kwenye account number yako. Kwa lugha nyingine ni hatuwezi kufanya money transfer from a different paypal account au account ya benki ila paypal refund unapata tu mkuu

Nadhani unaelewa tofauti ya You can not receive funds na You can not Receive a Refund
nimeelewa hata mimi
 
Kwa mtu yeyote mwenye pesa kwenye account yake ya Paypal na anashindwa kuzitoa, mimi nanunua hizo pesa kwa makato ya 5%. Unanitumia mimi then mimi nakurushia kwa tigo pesa kwa kukata asilimia tano, kama unataka kuuza kitu online na mtu wako kasema hawezi kutuma pesa kwa njia yoyote ile isipokuwa paypal basi nitakupa email yangu atatupa pesa kwangu kisha mimi nitakata 5% na malipo yako ntakutumia kwa tigo pesa. Karibuni sana
Nicheki hapa mr 0769920341
 
Back
Top Bottom