Huu mwaka maji mtaita mmaaaHivi we ni mwanachama au shabiki ? Ili tujue kama unaichangia club.
Kumbuka hapa tuna deni la mil 345 la kocha Lucy Emery
😆😆Wadau hamjamboni nyote?
Lazima tuseme ukweli bila kuona haya wala kuwa na hofu
Profesa Nabi hatufai tena kutuongoza
Yafaa atumbuliwe mapema kadri iwezekanavyo
View attachment 2389794
Tatizo sio kocha, Nabi ni kocha mzuri sana... Tatizo kuna muda vikosi vyetu vinapangwa na viongozi wa timu na sio kocha.
Hakuna kocha mwenye akili atampanga kisinda kwenye mechi muhimu kama ile akamuacha Farid ama Moloko nje..
Hakuna kocha mwenye akili atahitaji usajili wa viungo wengi wakati beki za
Sio lazima awe gsm muwekezaji wa mchongo,wapo wengi tu wanaotaka kuwekeza Yanga kuna bin Kleb,Rostam,Dangote,kampumi ya Afya n,k.Akikuachiaa utaweza kulipa gaharama za kuendesha timu au unasema tuu kushinda na kushindwa yote matokeo ila kama upo fresh fadhili timu laa sivyo acha povu
Mfukuzeni Matola kwanza.Wadau hamjamboni nyote?
Lazima tuseme ukweli bila kuona haya wala kuwa na hofu
Profesa Nabi hatufai tena kutuongoza
Yafaa atumbuliwe mapema kadri iwezekanavyo
View attachment 2389794
Mbona umemsahau na mwekezaji mkubwa tu hapa nchini kwa jina la Waminyato! Hao uliowataja wote hawafui dafu kwa huyu mwamba! Maana anamiliki kama magunia milioni 2 hivi ya chawa!Sio lazima awe gsm muwekezaji wa mchongo,wapo wengi tu wanaotaka kuwekeza Yanga kuna bin Kleb,Rostam,Dangote,kampumi ya Afya n,k.
gsm atuachie timu yetu tumechoka kudanganywa wana Yanga.
Sasa si bora tumuite Nabi Profesa, kuliko Kabudi!ACHA U KM NAMBI HAJAWAHI KUWA PROFESA HATAKUWA PROFESA NA HAWEZI KUWA PROFESA.
HILI JINA LA PROFESA LINA HADHI NA WATU WAKE.
Hana hata Diploma.
PERIOD
redio Tate Mkuu mnamuona huyu mamluki anawavurugia timu?Wadau hamjamboni nyote?
Lazima tuseme ukweli bila kuona haya wala kuwa na hofu
Profesa Nabi hatufai tena kutuongoza
Yafaa atumbuliwe mapema kadri iwezekanavyo
View attachment 2389794
Ni kweli mnauvumilivu tena mkubwa sana, maana mmeweza kuvumilia miaka 24 bila kufikia hatua ya makundi klabu bingwa.Mtasubiri sana, Nabi ndio kiboko yenu na bado yupo sana.
Bahati nzuri Yanga tumepata kiongozi anayejua football ana maono, Muda si mrefu tunakwenda kupiga hatua kubwa sana. Kikubwa ni uvumilivu tu.
Hawafai ninyi mapumbaff ya Utopolo.Unajumlisha watu wote kwa sababu gani?Pambafff weye!Wadau hamjamboni nyote?
Lazima tuseme ukweli bila kuona haya wala kuwa na hofu
Profesa Nabi hatufai tena kutuongoza
Yafaa atumbuliwe mapema kadri iwezekanavyo
View attachment 2389794
Mbumbumbu mwenzenu huyo.