Paza sauti Mtanzania Kocha Nabi afukuzwe kazi mara moja

Paza sauti Mtanzania Kocha Nabi afukuzwe kazi mara moja

Bado mnae sana mtateseka mpaka mtubu kwanini mlikuwa mnwapokea wapinzani wa simba JKNA na viongozi wenu kuvaa jezi za wapinzani wa mnyama mkali
 
duuh Yani wabongo tuache kujishughurisha na mambo ya msingi na tupaze sauti kwa ujinga
 
Team zote alizofundisha walimtimua kwasababu kwenye Caf champions league alikuwa hafanyi vizuri yanga mkamchukua kwasababu anaifunga simba ila sudani wanajua hyo sio kocha wa Caf champions league
 
Unataka Kusema Viongozi Ndo Wamempanga Lomalisa Na Diara Pazia Lilie
Tatizo sio kocha, Nabi ni kocha mzuri sana... Tatizo kuna muda vikosi vyetu vinapangwa na viongozi wa timu na sio kocha.

Hakuna kocha mwenye akili atampanga kisinda kwenye mechi muhimu kama ile akamuacha Farid ama Moloko nje..

Hakuna kocha mwenye akili atahitaji usajili wa viungo wengi wakati beki za
 
Akikuachiaa utaweza kulipa gaharama za kuendesha timu au unasema tuu kushinda na kushindwa yote matokeo ila kama upo fresh fadhili timu laa sivyo acha povu
Sio lazima awe gsm muwekezaji wa mchongo,wapo wengi tu wanaotaka kuwekeza Yanga kuna bin Kleb,Rostam,Dangote,kampumi ya Afya n,k.

gsm atuachie timu yetu tumechoka kudanganywa wana Yanga.
 
Sio lazima awe gsm muwekezaji wa mchongo,wapo wengi tu wanaotaka kuwekeza Yanga kuna bin Kleb,Rostam,Dangote,kampumi ya Afya n,k.

gsm atuachie timu yetu tumechoka kudanganywa wana Yanga.
Mbona umemsahau na mwekezaji mkubwa tu hapa nchini kwa jina la Waminyato! Hao uliowataja wote hawafui dafu kwa huyu mwamba! Maana anamiliki kama magunia milioni 2 hivi ya chawa!

Yaani akiuza hayo magunia kwa bei ya reja reja! Anaweza kabisa kuinunua Yanga!
 
Kwanini afukuzwe si ndio ameurudisha ubingwa wa ligi kuu ? au ndio yale ya "tunajua weneywe tunavyoshinda"
 
ACHA U KM NAMBI HAJAWAHI KUWA PROFESA HATAKUWA PROFESA NA HAWEZI KUWA PROFESA.

HILI JINA LA PROFESA LINA HADHI NA WATU WAKE.

Hana hata Diploma.
PERIOD
Sasa si bora tumuite Nabi Profesa, kuliko Kabudi!
 
Mtasubiri sana, Nabi ndio kiboko yenu na bado yupo sana.
Bahati nzuri Yanga tumepata kiongozi anayejua football ana maono, Muda si mrefu tunakwenda kupiga hatua kubwa sana. Kikubwa ni uvumilivu tu.
Ni kweli mnauvumilivu tena mkubwa sana, maana mmeweza kuvumilia miaka 24 bila kufikia hatua ya makundi klabu bingwa.
Mshindwe kuvumilia huo muda mfupi mnaouota kwamba mtafanikiwa 🤓🤓
 
Back
Top Bottom