Nyanje
JF-Expert Member
- Jul 25, 2013
- 763
- 680
Binafsi baada ya kuona mnajinadi nikajua mkombozi amepatikana dah!
Kumbe zilikuwa mbwembwe tu, Sasa yapata mwezi na kitu baada ya kufanya mchakato wa kuwakopa na nilikamilisha vigezo vyoote na wakaniambia ndani ya masaa 48 mzigo utakuwa umeiva.
Hayo masaa 48, imefika mwezi na ushee Sasa ukiuliza tatizo mtandao, kwani mimi nilikopa mtandaoni!?
Toeni mzigo huo au na nyie ni kausha damu mliochangamuka!?