PBZ Bank mbona biashara imewashinda mapema mno?

PBZ Bank mbona biashara imewashinda mapema mno?

Ni kweli aiseee sijui hizi bank imekuaje hela za kukopesha watu hakuna kabisa si PBZ tu hata NBC na CRDB ni changamoto.benk pekee unayoweza kupata pesa kwa haraka ni NMB tu kwa sasa
Ex-Banker,
Bank ni mchezo wa kubalance fedha, bank inaweza kuwa na outstanding nyingi nje, ikakosekana jinsi ya kutoa fedha, kwenye bank huwa tuna balance fedha, zilizopo nje, bank reserve, sometimes inabidi tusubiri kupokea ndipo Tutoe, but depend into figure inayoombwa.
 
Aende kea branch Manager wa tawi husika tatasidiwa, loan officers wakati mwingine wanataka rushwa au tuite mulungula ili wakupatie mkopo.
 
Back
Top Bottom