Kuanzishwa Kwa mfumo wa ess.utumishi kumerahisisha utoaj wa mikopo Kwa watumishi , na kupandisha watumishi madaraja kwa wakat kumewapa nguvu watumishi hivyo wamekopa Sana had kuzifanya bank kuwa na pesa nyingi mno nje.Ni kweli aiseee sijui hizi bank imekuaje hela za kukopesha watu hakuna kabisa si PBZ tu hata NBC na CRDB ni changamoto.benk pekee unayoweza kupata pesa kwa haraka ni NMB tu kwa sasa
Aongee nao mala ngapi mkuu mwanzako amesema anataka mzigo sio ukongwe angekua hajakamilisha vigezo wasingemwambia mzigo utakuwa tayari ndani ya saa 48 tafakari!Nenda Kaongee Nao.
PBZ Ni Banki Kongwe na haina shida katika swala Zima la Ukopeshaji.
Huenda Bado hujakidhi vigezo.
Kuja kuongea mtandaoni kutakufanya ukose sifa ya kukopesheka.
SahihiNi kweli aiseee sijui hizi bank imekuaje hela za kukopesha watu hakuna kabisa si PBZ tu hata NBC na CRDB ni changamoto.benk pekee unayoweza kupata pesa kwa haraka ni NMB tu kwa sasa
Hili linaweza kuwa na ukwel,watu wamekopa sanaKuanzishwa Kwa mfumo wa ess.utumishi kumerahisisha utoaj wa mikopo Kwa watumishi , na kupandisha watumishi madaraja kwa wakat kumewapa nguvu watumishi hivyo wamekopa Sana had kuzifanya bank kuwa na pesa nyingi mno nje.
Ndio namshauri aende kuongea nao na kuwasumbua, ili ajue nini kinachelewesha kuweka mzigo.Aongee nao mala ngapi mkuu mwanzako amesema anataka mzigo sio ukongwe angekua hajakamilisha vigezo wasingemwambia mzigo utakuwa tayari ndani ya saa 48 tafakari!
Sasa ukiuliza tatizo mtandandao kwani mimi nilikopa mtandao!?Kwa maelezo hayo kwa vyovyote ameshawaulizaNdio namshauri aende kuongea nao na kuwasumbua, ili ajue nini kinachelewesha kuweka mzigo.
Sisi pia tumekopa ktk hiyo bank na ilitubidi tuwakumbushe kwa kuongea nao mala kwa mala Hadi wakaweka mzigo
Maisha ni kuyapambania na sio kulalamika.
Jina ulilotumia mpwa ndio ambalo halisomeki kwenye mtandao wao. Majina Kama Masawe Cristiano Ndalichako hayasomeki kule. Badili jina andika Muddy Pandu Makalo uone. Ndani ya masaa 24 compyuta zinatema cheche.Binafsi baada ya kuona mnajinadi nikajua mkombozi amepatikana dah!
Kumbe zilikuwa mbwembwe TU, Sasa yapata mwezi na kitu baada ya kufanya mchakato wa kuwakopa na nilikamilisha vigezo vyoote na wakaniambia ndani ya masaa 48 mzigo utakuwa umeiva
Hayo masaa 48 imefika mwezi na ushee Sasa ukiuliza tatizo mtandandao kwani mimi nilikopa mtandao!? toeni mzigo huo au na nyie ni kausha damu muliochangamuka!? Pumbafu!!
Rejea #5 huo ndio ukweli hawana helaNdio namshauri aende kuongea nao na kuwasumbua, ili ajue nini kinachelewesha kuweka mzigo.
Sisi pia tumekopa ktk hiyo bank na ilitubidi tuwakumbushe kwa kuongea nao mala kwa mala Hadi wakaweka mzigo
Maisha ni kuyapambania na sio kulalamika.
Hawana hela mkuu niamini hata kobasi wengi wa bara nao wanalalamika wana mwezi hawajapewa pesaJina ulilotumia mpwa ndio ambalo halisomeki kwenye mtandao wao. Majina Kama Masawe Cristiano Ndalichako hayasomeki kule. Badili jina andika Muddy Pandu Makalo uone. Ndani ya masaa 24 compyuta zinatema cheche.
Wapemba kumbe hawatumii benki yao.?Hawana hela mkuu niamini hata kobasi wengi wa bara nao wanalalamika wana mwezi hawajapewa pesa
Hamna kitu hao urojo punzi imekata sepeni hukoBinafsi baada ya kuona mnajinadi nikajua mkombozi amepatikana dah!
Kumbe zilikuwa mbwembwe TU, Sasa yapata mwezi na kitu baada ya kufanya mchakato wa kuwakopa na nilikamilisha vigezo vyoote na wakaniambia ndani ya masaa 48 mzigo utakuwa umeiva
Hayo masaa 48 imefika mwezi na ushee Sasa ukiuliza tatizo mtandandao kwani mimi nilikopa mtandao!? toeni mzigo huo au na nyie ni kausha damu muliochangamuka!? Pumbafu!!
Moja ya benki ya kihuni hawana tofauti na platnumz au wale kausha damu,kama unajipenda usikope huko utajuta.Binafsi baada ya kuona mnajinadi nikajua mkombozi amepatikana dah!
Kumbe zilikuwa mbwembwe TU, Sasa yapata mwezi na kitu baada ya kufanya mchakato wa kuwakopa na nilikamilisha vigezo vyoote na wakaniambia ndani ya masaa 48 mzigo utakuwa umeiva
Hayo masaa 48 imefika mwezi na ushee Sasa ukiuliza tatizo mtandandao kwani mimi nilikopa mtandao!? toeni mzigo huo au na nyie ni kausha damu muliochangamuka!? Pumbafu!!
Akose sifa kivipi, kama bank yenyewe mi michosho.Nenda Kaongee Nao.
PBZ Ni Banki Kongwe na haina shida katika swala Zima la Ukopeshaji.
Huenda Bado hujakidhi vigezo.
Kuja kuongea mtandaoni kutakufanya ukose sifa ya kukopesheka.
Walijua ni Zanzibar huku wanaokopa hawafiki hata 100 watu wamekausha mzigo woote wanasubiri mpaka watu walipe ndiyio wakopeshe wengine ni kikoba hiki kilichochangamkaMoja ya benki ya kihuni hawana tofauti na platnumz au wale kausha damu,kama unajipenda usikope huko utajuta.
Hamna uwezo wa kukopeha watu mbwa nyie rudisheni kikoba chenu kizimkazi huko!Nenda Kaongee Nao.
PBZ Ni Banki Kongwe na haina shida katika swala Zima la Ukopeshaji.
Huenda Bado hujakidhi vigezo.
Kuja kuongea mtandaoni kutakufanya ukose sifa ya kukopesheka.
Kwa vyovyote wewe ni muhusika acheni kucheza na maisha ya watu ngedere nyieNenda Kaongee Nao.
PBZ Ni Banki Kongwe na haina shida katika swala Zima la Ukopeshaji.
Huenda Bado hujakidhi vigezo.
Kuja kuongea mtandaoni kutakufanya ukose sifa ya kukopesheka.
Kuwa mstaarabu TafadharHamna uwezo wa kukopeha watu mbwa nyie rudisheni kikoba chenu kizimkazi huko!