Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
Lete namba/location Mkuups4 saivi zishashuka bei mpaka 400k unapata tena mpya kabisa,ps3 ndio kabisa hazina bei nawatahadharisha msije mkapigwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lete namba/location Mkuups4 saivi zishashuka bei mpaka 400k unapata tena mpya kabisa,ps3 ndio kabisa hazina bei nawatahadharisha msije mkapigwa.
Kariakoo pale.Fanya hivo,yupo mkoa gani ?
Kwann hautaki sasa?! Mbona zipo kariakoo namba ya muhusika sijui niliipoteza ila kuna sehemu nimeomba nitatumiwa then nitaweka hapa.Akipata niko paleee nimekaa
Hautaki sasa?Ps 3[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Wakuda wa JF bwana[emoji23][emoji23][emoji23]
Soma vizuri acha kupotosha nimeandika PlayStation Three sio Four.Wale much know mkuu afu hawaelewa mambo. Wanafdhan ps4 ni matako kwamba kila mmoja anayo[emoji12]
Nishikie hadi kisu mzee wangu. Kadanganye watoto wadogo. Na utu uzima wangu. Hivo ni vitu vyangu wayback. Najua thamani yake. Usigeleshe kujaza kurasa boss. Acha ipite tu.Hautaki sasa?
Mi nataka laptop Yenye Nvdia gt 920 vp naweza pata hata mtu usedps4 saivi zishashuka bei mpaka 400k unapata tena mpya kabisa,ps3 ndio kabisa hazina bei nawatahadharisha msije mkapigwa.