kuna hawa jamaa JUMIA nimeona matangazo yao fb nahic km vitu vyao nivizuri.japo bado sijanunua chochote kwao.Samahan. Kaka na dada. Zangu. Natafta. Laptop ya kununua. Kwa. Laki. 300000. Iwe. Na RAM 2GB.. CPU NA icore ya i3 sio mbaya. Na kuendela. Mimi nip buhongwa. Pia. Iwe. Kama INA wezeiana. Sana iwe HP,LENOVO (DELL). SIATAKI
Naona simu yako sometimes inatumia "dot" instead of "space", embu kwa u-engineer wako rekebisha kwanza hiyoNdugu zangu. Ninasomea. Civil engeneering. Takaka. Kununua. PC yenye angalau. Uwezo wa kuwa na
(i5_4470m. Au
i3_6066u)
. Nina laki 3 tu je ntapata. Iwe na ubora. Mzuri pia iwe new ama. Ya mtumba. Napatikana. Mwanza. 0744687381.
Boss mimi sio engineer ila navoelewa Pc zinazoendana na kasi ya fani zenu kwa laki 3 sahau laki 4 na nusu hapo walau unaweza ukapata used tena inaweza sogea mpaka laki 5.kila la kheri engineer kwenye uboraNdugu zangu ninasomea Civil engeneering nataka kununua. PC yenye angalau uwezo wa kuwa na
(i5_4470m. Au 3_6066u) . Nina laki 3 tu je ntapata iwe na ubora mzuri pia iwe new ama ya mtumba napatikana Mwanza. 0744687381.
Nichek tuonane me nipo nyegezi kijiweni hapaNina. NNE mkuu
Bado unayo?toshiba nayo huitaki?