Pc ya mtumba ama mpya ya kununua kwa wauzaji wa Mwanza tu

Omary idd

Member
Joined
Sep 5, 2017
Posts
65
Reaction score
13
Samahan kaka na dada zangu natafta laptop ya kununua Kwa laki 300000 iwe na RAM 2GB CPU nA icore ya i3 sio mbaya na kuendelea mimi nipo buhongwa pia iwe kama ina wezeiana sana iwe HP,LENOVO (DELL) sipendezwi nayo.
 
Samahan. Kaka na dada. Zangu. Natafta. Laptop ya kununua. Kwa. Laki. 300000. Iwe. Na RAM 2GB.. CPU NA icore ya i3 sio mbaya. Na kuendela. Mimi nip buhongwa. Pia. Iwe. Kama INA wezeiana. Sana iwe HP,LENOVO (DELL). SIATAKI
kuna hawa jamaa JUMIA nimeona matangazo yao fb nahic km vitu vyao nivizuri.japo bado sijanunua chochote kwao.
 
Ndugu zangu ninasomea Civil engeneering nataka kununua. PC yenye angalau uwezo wa kuwa na
(i5_4470m. Au 3_6066u) . Nina laki 3 tu je ntapata iwe na ubora mzuri pia iwe new ama ya mtumba napatikana Mwanza. 0744687381.
 
Nahitaji laptop ila. Iwe new modern kwa laki tatu seeemu naishi mwanza. Njooo. Pm ama 0744687381
 
Ndugu zangu. Ninasomea. Civil engeneering. Takaka. Kununua. PC yenye angalau. Uwezo wa kuwa na
(i5_4470m. Au
i3_6066u)
. Nina laki 3 tu je ntapata. Iwe na ubora. Mzuri pia iwe new ama. Ya mtumba. Napatikana. Mwanza. 0744687381.
Naona simu yako sometimes inatumia "dot" instead of "space", embu kwa u-engineer wako rekebisha kwanza hiyo
 
Naona simu yako sometimes inatumia "dot" instead of "space", embu kwa u-engineer wako rekebisha kwanza hiyo
Mmmmh. Haya. Bhna. Mimi natafta. PC. Ndugu yangu
 
Nna dell E6420
CORE i5
R.A.M 2GB
HDD 500GB
Bei 400k...
Kama unaitaka nchek 0762801117 nipo nyegezi
 
Ndugu zangu ninasomea Civil engeneering nataka kununua. PC yenye angalau uwezo wa kuwa na
(i5_4470m. Au 3_6066u) . Nina laki 3 tu je ntapata iwe na ubora mzuri pia iwe new ama ya mtumba napatikana Mwanza. 0744687381.
Boss mimi sio engineer ila navoelewa Pc zinazoendana na kasi ya fani zenu kwa laki 3 sahau laki 4 na nusu hapo walau unaweza ukapata used tena inaweza sogea mpaka laki 5.kila la kheri engineer kwenye ubora
 
Amina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…