Falzkunta New Member Joined Oct 16, 2019 Posts 4 Reaction score 4 Jul 26, 2024 #1 Habari wana JF PC yangu imekua na shida ya mstari kwenye screen na doa Jessica kwa chini. Hili tatizo nalitatua vipi wadau?
Habari wana JF PC yangu imekua na shida ya mstari kwenye screen na doa Jessica kwa chini. Hili tatizo nalitatua vipi wadau?
Smith Rowe JF-Expert Member Joined Sep 18, 2018 Posts 4,319 Reaction score 9,003 Jul 26, 2024 #2 Doa jessica ni nini?
TODAYS JF-Expert Member Joined Apr 30, 2014 Posts 14,747 Reaction score 24,250 Jul 27, 2024 #3 Hiyo ndiyo safari ya kwenda kufa kwa kioo, jiandae kununua kipya au used.
Anko Bantu JF-Expert Member Joined Aug 6, 2018 Posts 832 Reaction score 1,034 Jul 27, 2024 #4 Yaani unampenda Jessica hadi unamwandika humu
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Jul 27, 2024 #5 Ngoja waje kukupa muongozo... Cc: Mahondaw