PCB kakazeee achana na PCM itakusumbua sana kwenye soko lake labda uwemwalimuu wa hesabu au baba akoo anakampunii ya engeneneering
Acha kupotosha watu kjana kama hujui kitu kaa kmya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
PCB kakazeee achana na PCM itakusumbua sana kwenye soko lake labda uwemwalimuu wa hesabu au baba akoo anakampunii ya engeneneering
live huyu jamaa alinpotosha mi nataka soma fani rahisi ye ananiambia ajira ngumu .skuizi tunasoma tukiwa na malengo mawili kujiajiri au kuajiriwa suala la msingi ni fani unayoisomea je ? unaweza kuitumia kujiajiri
Jamaa alikuwa sahihi kabisa.asikudanganye mtu ni bora usome PCB mara kumi kuliko PCM.
Kuna jamaa zangu walisoma PCM sasa hivi wanajutia,mwenzao kiulaini nakula mema ya nchi.
Ukiona PCB huitaki bhac angalau CBG nayo nzuri.
nahisi kizunguzungu
Kati ya PCB na PCM ipi ni kombi ngumu kusoma advance na ipi ina ajira nyingi ukiisoma?
Pia ni ipi inaongoza kwa kufelisha?