PCB na PCM ipi ni ngumu advance kusoma

live huyu jamaa alinpotosha mi nataka soma fani rahisi ye ananiambia ajira ngumu .skuizi tunasoma tukiwa na malengo mawili kujiajiri au kuajiriwa suala la msingi ni fani unayoisomea je ? unaweza kuitumia kujiajiri
 
live huyu jamaa alinpotosha mi nataka soma fani rahisi ye ananiambia ajira ngumu .skuizi tunasoma tukiwa na malengo mawili kujiajiri au kuajiriwa suala la msingi ni fani unayoisomea je ? unaweza kuitumia kujiajiri

Jamaa alikuwa sahihi kabisa.asikudanganye mtu ni bora usome PCB mara kumi kuliko PCM.
Kuna jamaa zangu walisoma PCM sasa hivi wanajutia,mwenzao kiulaini nakula mema ya nchi.

Ukiona PCB huitaki bhac angalau CBG nayo nzuri.
 
inadepend na kichwa chako na malengo yako but kuhighlight PCB itahitaji usome masaa mengi(kucrame bios) plus chuo ni miaka 5 + 1 internship but PCM kusoma sio sana sbb math haiitaj muda mwingi kusoma na kucream,
kuhusu ajira zote mbil PCB most likely dokta na PCM engineering km hutobadili zina ajira nyingi but udaktari ajira ni nyingi zaidi na unaweza jiajiri so kikubwa ni malengo yako na fursa zinazonguzukuka hapo kwako kama mtaji n.k
usijali kuhusu ugumu sababu ugumu wa hizi mbili unatofautiana kidogo sana na pengine PCM ikawa ngumu kuliko PCB kutegemea background yako kimasomo na kichwa chako

Ni ayo tu!!
 
Mathematics is like music, music with sweeet beat and rythm!! And if u love that music your life gonna be so sweet too!! I can never get bored or tired of listening such a music in my ears!!! I love that music i love math...pure math!!
 
Jamaa alikuwa sahihi kabisa.asikudanganye mtu ni bora usome PCB mara kumi kuliko PCM.
Kuna jamaa zangu walisoma PCM sasa hivi wanajutia,mwenzao kiulaini nakula mema ya nchi.

Ukiona PCB huitaki bhac angalau CBG nayo nzuri.

Ina maana hakuna waliosoma pcb,na wakasafa mtaani sio kila mtu akisoma pcb atasoma udaktar usikarir PCB na PCM sio kozi n kombi huwezi kuomba kaz kw kumalza six na pcb yako labda ulizi.
 
nahisi kizunguzungu

Captein soma pcm/pcb then chuo soma ktu unachokpenda ukiwa n mawaz y kujiar ,usisome koz ambay ipo kwny soko now baada y kumalza chuo ikawa haina soko utakuw umefel nb: ukiwa na mawazo ya kujiajr n easy kajiriwa ila ukiwa n mawazo y kuajiriwa n ngumu kujiajr
 
Kwa kurahisisha swali lako sema ' Biology na Advanced Math, somo lipi ni gumu' maana combnation zote zina PC
Kati ya PCB na PCM ipi ni kombi ngumu kusoma advance na ipi ina ajira nyingi ukiisoma?

Pia ni ipi inaongoza kwa kufelisha?
 
hakuna ngumu hapo ni msingi wajo tuu huko ulikotokeaaaaaaaa:shocked::shocked:
 
ugumu wa somo <komb!> itategemeana na mambo meng! <tunaweka kapuni>

ila kwa upande wa ajiRa PCB ina wigo mpana wa ajira kuliko PCM, PCM ukishindwa kenda engeneering, computer sciences labda na uhasibu,,, ukikosa hapo jua ni ualimu tu.
 
pcb ngumu pia kuhusu ajira sio lazima usome udaktari unaweza kusoma kozi yoyote ile kama umefaulu vizuri lakini hata ukitaka kozi za sayansi zipo za miaka 3 kwa level ya degree na ajira zake ni nyingi sana wala usiogope kama utaweza mziki wa pcb piga dogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…