PCB siyo tahasusi ya mchezo

Sikulazimishi kuamini May be ningekuambia nimepata A sawa ukumbuke kuwa kuna watu ni Gifted (Anaweza asipate One ya 7 O level au 3 A Level au asipate A zote lkn akawa Gifted). Kuna kitu kinaitwa Natural Performance (Hii mostly ni inheritance) Usikalili maisha.

Ningekupa Details za Mwalimu (Alienikataa) , Shule niliyosomea ukamtafute Mkurugenzi wake nahisi ungeamini.

Hesabu haiitaji Kusolve km unajua unafata utaratibu. Na ukitaka kuprove Angalia topic km MATHEMATICAL INDUCTION, SET, LINNER PROGRAMMING, HYPERBOLIC TRIG FUNCTION kwenye Advance Mathematics zote ni topic ambazo zimebase kwenye Assumption tu sasa Una solve mara Kwa mara kugundua nini? Km sio kuitaji Kukalili.

Note: Sikupingi mtu anaekalili nae ana faulu Kwa sababu anakuwa anafanya km marudio tu lkn akimaliza Shule mpe Mwaka moja tu hawezi tena akasolve Swali ukimpelekea.
 
Kujinadi tu lakini hakuna mwana hesabu ambae anasoma hesabu kwa kusoma kama gazeti prove swali et usome kama gazeti unajiona special kuliko wengine....
Practice inafanya mwanafunzi awe perfect katika ufikiliaji wake akiwa anakokotoa na hakuna mwalimu ambae kama mwanafunzi anafaulu alazimishe usomaji kwa mwanafunzi haiingii akilini kama unasoma na unafulu vyema hawezi kulazimisha mayb kama ulikuwa na conflict nae binafsi

Hata sisi walimu walisema tutafel ni kauli tu za hasira kw mwalimu lakin haiwez kumanisha chochote katika mafanikio yako na ufaulu ondoa iyo mentality yako ...

90% wanaofaulu masoma ya hesabu ni wale wanaojituma na kusolve kila saa na kila wakati
 
Kuhusu Conflict Binafsi sijui labda kwake (Maana hata notes nilikuwa siandiki) arafu elewa tumesoma shule tofauti kuna walimu wao furaha Yao nikuona Mwanafunzi anafeli km ujasoma shule hizo Mshukuru sn Mungu.

Ss hiyo 10% uliyoiacha humo Mi ndy nimo. Ngoja nichukue reference yako kdg najua kwanini unaona ni ngumu.
Uko Juu umesema ulikuwa unafeli sn hesabu mpk form 2 lkn ulipoanza Kusolve solve ndy ukaanza kufaulu (Wewe pia ni miongoni mwawatu wanaokariri hesabu sio kuifahamu hesabu) ndy maana ulipokuwa Advance ulipoacha Kusolve solve BAM yenyewe ukapiga F kifupi we hesabu ulikuwa uelewi ndy maana ulipoiacha na yenyewe ikakuacha. Labda nikuongezee Concept ujiulize Kwanini kwenye Complete (Msemo) workouts ya test zote(ukitoa 1 mpk 2 km sio 3 ndy kuna solutions zake) kulikuwa hakuna solutions unakuta majibu tu . Bado ukija Advance kuna kitabu kinaitwa TRANTA kimeandikwa na JOHN CLEMENT TRUNTER kuna baadhi ya majaribio ulikuwa unaandikiwa Use Ur common sense hakuna Solutions Ukipata majibu ni Jibu. Ss mtu unakuta toka Form 3 yupo ja Reviews ambayo ina 10 yrs tu na anasolve kila siku mpk anaingia kwenye Necta ss km sio kukariri unataka tuseme ni nini?

Wengine kufaulu Mathematics tumeanza toka darasa la kwanza (Na ndy somo nilikuwa napata High Marks mpk Advance Except Necta results ndy kuna masomo nilipata High Marks tofauti na Maths).

Ni vyema ukaelewa tunasoma Kwa Mtindo tofauti tofauti na uwezo wa mtu moja moja upo tofauti na mwingne hata km wote wanafaulu.
 
Nimesoma koment yako nimeona kumbe hata uwezo wako bado mdogo zaid ya majigambo .
nikwambie tu hakuna uchawi kweny hesabu sio hesabu kitu chochote cha kufikilia kama hukifanyii mazoez huwez kufaul hat uwe.
mcheza mpira kama hujitumi zaid kufanya mazoez hata uwe na kiwango cha dunia ta tatu ...
huwez kuwa bora utaishia mtaani kwa kukuona tu nimeona kabisa uwezo wako ni wakujitap bali sio kuelimisha tena mfinyu mno yaani unatak kujiweka kwamba wew ni genius hakuna genius ambae hafanyiii mazoezi kitu chake...
Nazani nikueleweshe kidgo kuliko kujigamba hakuna mwanafunzi ambae atapat B ya mathematics hata c usem alikuwa ana kalili hesabu haijawai kukaliliwa tena nakushangaa sana broo yaani mbele za watu unakuja na agenda ya kusem hsabu wanakarir broo hauko serous kaka kama hujui hesabu hata ukalili huwez kutoboa utakalili maswali mangap au topic ngapi upate B je hesabu utakalili jibu nikuuliz au utakalili hapa ilikuwa z leo imekuja J nimekushangaa sana kujiona special kuliko viapanga ambao tumewaona wakisolve na kuondoka na one zao kali wew ambae huna hata B unasem et mwenye A alikarir tumaliz mchezo lete matokeo yako ya o_leval inbox na advance nilete yangu pia let ya chuo pia alafu tumaliz mchezo hatuongeagi san
 
Naona unataka ligi tu bahati mby sipo kubishana
 
Mimi nimekosa chakumjibu nmeona nikae kimya tu
 
Mimi nimekosa chakumjibu nmeona nikae kimya tu
Kuna watu wanaleta sifa ambazo hazina maan kitu kinaitwa kukokotoa tena kikokotezi eti mtu asome kama gazeti tena anajitapa et kama unatak ufaulu kwa muda mfupi

hata kama ulipata A ya mathematics 100 ila ukiacha kuifanyia kazi lazim tu ikushikie masikio leo anataka kusem akiulizwa kishezi kielezi ni nini atakumbuka hawez kukumbuka au aulizwe mficane war atakumbuk ndio maana halisi ya kitu kukisoma mara kwa mara ili usiweze kusahau kichwa kina vitu vingi sana nimemuona nikasem huyu sio msomi zaid ya misifa na majigambo tu...
 
Acha kabisa vitini vya MGOTE , UNGA , ISSUE BOY kule unaenda tena kugusa MUDDY PHYSICS ni balaa na nusu
 
Hata idadi ya mitihani PCB in mitihani mingi
Biology Theory+pract 3
Physics theory+pract 3
Chemistry their+pract 3
BAM 1
GS 1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…