PCB siyo tahasusi ya mchezo

PCB siyo tahasusi ya mchezo

Advanced biology ina Shida kwenye kujibu, ila ni mchele sana kwenye kusoma
Wewe unasema tu Ila hujui unachosema, kitu usichokijua biology kujibu kuotea ukibugi umebugi mazima mfano mdogo kuna namna na trick za kupasua Mende ukibugi tu Mzee umeharibu show ushapoteza marks na mbaya zaidi pepa la prac ndio lina marks nyingi kuliko theory kazi kwako
 
Biology inaweza kuwa chini,

Shida ya Biology ipo kwenye kujibu

Unafanya mitihani unasema napata A yakirudi matokeo una C
Hio ni physics na chemistry sio biology, hapo umeingia Chaka biology haina formula za kumezeshwa kwenye scientific calculator km ilivyo physics na chemistry kwa hio hapo umeenda chaka

Kwa kukufungua macho scientific calculator ni DESA la wanaosoma PCM ukisoma PCB kwenye physics na chemistry na BAM utaingia na calculator hio unaweza uka DESA formula baadhi sometimes hata majibu ya moja kwa moja especially kwenye prac za physics na chemistry ni kupachika tu na kujaza majibu moja kwa moja tena unaweza hata usizifanye prac zenyewe

Ila biology huwezi kudesa hauingii na scientific calculator mule lab ni Wewe na dissection kit yako Mkononi sio calculator na lazima uonekane unafanya prac ndio upewe marks yaan kufanya tu kule ukaonekana umepata unakula marks na unatoa majibu km usipofanya na ukionekana hujafanya unakula zero hata km umejibu umejibuje na huku hujafanya? sijui unanielewa?

Kwenye prac za physics na chemistry Wewe ufanye usifanye Wewe kikubwa ujaze majibu tu yaliyo sahihi na majibu yaliyo sahihi yanakwenda na formula zilizo sahihi na formula unaweza kuziweka kwenye calculator zote ukaingia nazo safi kabisa hakuna anaekuja kukagua eti heat umepata ngapi au sijui umeongeza Maji kimetokea nini aone ndio akupe marks hio hakuna kwa hio ni Wewe kuzuga tu na thermometer lako unajifanya unachemshachemsha Maji basi mchawi calculator formula unashuka majibu mchezo umeisha hio ndio PCM
 
Wewe unasema tu Ila hujui unachosema, kitu usichokijua biology kujibu kuotea ukibugi umebugi mazima mfano mdogo kuna namna na trick za kupasua Mende ukibugi tu Mzee umeharibu show ushapoteza marks na mbaya zaidi pepa la prac ndio lina marks nyingi kuliko theory kazi kwako
Distribution ya marks ikoje?

Kwamba paper 1,paper 2 ziwe na mchango mdogo kuliko practical?

Mf mtu A apige 90 paper 1,90 paper 2 ,10 practice

Mtu B apige 10 paper 1,10paper 2 ,90 practice.

Nani atakuwa na combined marks kubwa?
 
Prac ndio Ina uzito mkubwa kuliko paper 1&2
 
PCB sio mchezo yani kupata A ya Biology ni ngumu kweli kweli na masomo yenyewe hayana ushirikiano tofauti na PCM Purre Mathematics inakuwa applied kwenye Physics na Chemistry pia.
Advanced chemistry inatumia application ya hesabu za O level, labda chemical kinetics ambayo sio lazima kuderive order of reactions

Physics nayo inahitaji application ya hesabu za kawaida tu hata BAM kubwa 😂😂
 
MImi nimesoma Advanced Biology na nimefundisha miaka 6

Halafu unachokisema sio kweli, hakuna practical easy Kama za Biology

Dissection kupasua chura, mende au panya ni marks 3 tu, mchoro una marks 2 (jumla mwalimu anakupa 5)

Mchoro unakuwa umekariri, na maswali yote yanayokuja ni ya kuelewa na kukariri tu.

Halafu mwalimu wako hawezi kukupa marks 0 kati ya 5 kwenye NECTA labda mchoro uzingue.

Food test ndio Ile Ile ya Level

Classification ndio Ile ile

Enzymology hakuna jipya

Pia Advanced Biology yote hakuna topic ngumu na ndio maana wanafunzi wengi huwa hawasomi tuition ya Biology

Maswali ni yale yale kila siku
Mechanism of doubles fertilization
Mechanism of protein synthesis, DNA replication

Structure of Cochlea

Mitochondria is a cell within a cell

Biology ni ngumu kupata A kwa kuwa Kuna tricks zake za kujibu na walimu wengi hawajui

Ukijaribu kupitia candidate response analysis angalau 5 kwa umakini na ukawafundisha wanafunzi vizuri, Bio ni easy mno kufaulu kuanzia kwenda mbele
 
Hio ni physics na chemistry sio biology, hapo umeingia Chaka biology haina formula za kumezeshwa kwenye scientific calculator km ilivyo physics na chemistry kwa hio hapo umeenda chaka

Kwa kukufungua macho scientific calculator ni DESA la wanaosoma PCM ukisoma PCB kwenye physics na chemistry na BAM utaingia na calculator hio unaweza uka DESA formula baadhi sometimes hata majibu ya moja kwa moja especially kwenye prac za physics na chemistry ni kupachika tu na kujaza majibu moja kwa moja tena unaweza hata usizifanye prac zenyewe

Ila biology huwezi kudesa hauingii na scientific calculator mule lab ni Wewe na dissection kit yako Mkononi sio calculator na lazima uonekane unafanya prac ndio upewe marks yaan kufanya tu kule ukaonekana umepata unakula marks na unatoa majibu km usipofanya na ukionekana hujafanya unakula zero hata km umejibu umejibuje na huku hujafanya? sijui unanielewa?

Kwenye prac za physics na chemistry Wewe ufanye usifanye Wewe kikubwa ujaze majibu tu yaliyo sahihi na majibu yaliyo sahihi yanakwenda na formula zilizo sahihi na formula unaweza kuziweka kwenye calculator zote ukaingia nazo safi kabisa hakuna anaekuja kukagua eti heat umepata ngapi au sijui umeongeza Maji kimetokea nini aone ndio akupe marks hio hakuna kwa hio ni Wewe kuzuga tu na thermometer lako unajifanya unachemshachemsha Maji basi mchawi calculator formula unashuka majibu mchezo umeisha hio ndio PCM
Kwa hiyo vile vimarks 3 vya dissection na 2 za mchoro ndio hoja?

Jambo kubwa pale ni mchoro mzuri, ukichora vizuri ushatoboa.

Food test ya O level
Classification Ile Ile kila siku unaleteaa moss na fern plant.
Enzymology hamna jipya

NB
Practicals zina marks 20 tu kwa jumla

50÷2.5 = 20

Sasa ukitumia nguvu kubwa kutetea marks 20 unaonekana hujui unachokitetea
 
Distribution ya marks ikoje?

Kwamba paper 1,paper 2 ziwe na mchango mdogo kuliko practical?

Mf mtu A apige 90 paper 1,90 paper 2 ,10 practice

Mtu B apige 10 paper 1,10paper 2 ,90 practice.

Nani atakuwa na combined marks kubwa?
Paper 1 = 40 marks

Paper 2 = 40 marks

Paper 3 = 20 marks

Huwa wanachukua ( 100+ 100 + 100) ÷ 2.5
 
Prac ndio Ina uzito mkubwa kuliko paper 1&2
Acha uongo, Masomo hayo unajikuta umesoma wewe tu?

Yaani mtu asome cytology, Biochemistry, nutrition, respiration & gaseous exchange, coordination, excretion, principles of classification

Transport, growth , genetics, evolution, reproduction. Ecology, classification 2 ( paper 2 and 2)

Halafu paper 3 yenye dissection (mende, chura, panya)
Enzymology
Food test
Classification ( specimen chache)

Iwe na marks nyingi?
 
Kinachotofautisha ni volume.

Mtu wa PCB anakuwa na vitu vingi sana vya kusoma, yaani mambo ni mengi mno. Tukiachana na masomo mawili wanayolandana, Bilology ina mambo mengi sana kuyasoma.

Wakati mwenzako anahangaika na Pure Mathematics, wewe unakuwa busy na Biology huku ukisubiri ukasolve tena BAM.

Unakuwa na mzigo mwingi wa kuukamilisha ndani ya muda mfupi wa miaka miwili.

Lakini pia, ufaulu wa Biology unakuwa na changamoto sana kwa sababu ni maelezo mengi. Anayejibu anachagua namna yake, huku ambaye anasahihisha ana namna anayotaka majibu yawe.

Majibu yanaweza kuwa sahihi sana, ila kuelezea ili umridhishe msahihishaji ndipo mtihani ulipo.

Wakati kwenye Pure, mambo ni very direct. Hakuna longolongo.

Somo gumu PCB ni Physics. Acha kabisa. Ni gumu mno. Ukitega ukiliwa, hata ukaze kwenye Chemistry na Biology utalamba tu 3. Maana kupasua A kwenye Biology hutegemea sana na usahihishaji.
 
Jambo kubwa pale ni mchoro mzuri, ukichora vizuri ushatoboa.
Ukichora na hujafanya chochote unapigwa zero, elewa hilo ni tofauti na physics na chemistry na pure maths formula unazipaki tu kwenye calculator physics na chemistry ukiingia lab yule invigilator hata usipofanya ukaendelea kujaza na kuchora mamichoro yeye hana time na wewe hakagui sijui umechemshaje maji sijui umemchanganya vipi maji na chemicals sijui heat uliyoonyesha ni sahihi au sio sahihi hakagui yaan haukaguliwi wewe ni kucheza tu na calculator yako ambayo umepaki formula za kutosha mradi utumie formula sahihi na zikuletee majibu sahihi umeula yaan umetoboa Ila kwenye biology lab lazima uonyeshe ulivyofanya ndio uhamie kwenye mamichoro unakaguliwa na invigilator lazima akague ulivyofanya ukichora na hujafanya chochote unapigwa zero kotekote hata km umechora umechora na huku hujafanya, sijui unanielewa?

Na usisahau hapo unafanya prac huku unakimbizwa na Muda, sasa wanaosoma PCM wengi wao ili kusevu Muda tunapaki formula tu kwenye calculator tukiingia lab hatufanyi prac kwanza kusevu Muda tunalifanya pepa kwanza km theory alafu tukimaliza kujaza majibu ndio tunaanza kuzuga kwamba tunafanya prac Ila in reality hakuna prac tuliyoifanya tunaingia na constant tu mchezo umeisha

Ila kwenye biology huwezi ukaingia ukaanza kuchora na huku haujapasua ili kusevu Muda hio haipo kwenye biology hakuna ujanja ujanja invigilator akikukuta unachora na haujapasua atakuhoji unachora kutoka upasuaji upi Wapi umepasua? Hujapasua unachora wewe una akili? Pasua ndio uchore na mchoro ufanane na ulivyopasua maana lazima ukaguliwe ndio upewe marks tofauti na physics and chemistry huku hakuna kukaguliwa wewe ukimaliza kujaza majibu sahihi kwenye answer sheet unakusanya hata km hujafanya prac yoyote kikubwa ni kuzuga tu km umefanya basi hakuna anaekuja kukukagua ulivyofanya ndio akupe marks hakuna, wanachochukua ni yale majibu ya kwenye answer sheet tu kile ulichofanya hakina marks zozote Ila kwenye biology kile ulichofanya kina marks invigilator anapitia kila Meza anakagua anarekodi marks ya kile ulichofanya sijui unaelewa tofauti yake hapo?
 
PCB ni vita mura sijui kwa waliosoma PCM na masomo mengine
advance nitasema ni elimu ngumu kuliko hata elimu ya chuo. Tatizo lingine kubwa advance kama umesoma shule za serikali guiding kutoka kwa walimu usome kipi na upitaje almost hakuna utaishia kusoma matango kibao pepa ikija OP kabisa.
its a nightmare stage, miamba wote waliopata I,II,III na timu yote ya miamba wakujiita T.O heshima kwao:ClapHD:..am getting some chills nikiyakumbuka yale mavitabu na vitini vya kina mgote, sir unga na wengineo miaka hiyo.
 
Ndiyo maana napendelea kuhamasisha umma wa hili jukwaa kila mkiona komenti yangu yoyote niheshimu sana maana hiko mnachoogopa mwenzenu nilikichezea Kama mwigulu na mama kizimkazi
 
Back
Top Bottom