MrJobless
JF-Expert Member
- Jan 20, 2023
- 1,091
- 1,342
Sikulazimishi kuamini May be ningekuambia nimepata A sawa ukumbuke kuwa kuna watu ni Gifted (Anaweza asipate One ya 7 O level au 3 A Level au asipate A zote lkn akawa Gifted). Kuna kitu kinaitwa Natural Performance (Hii mostly ni inheritance) Usikalili maisha.Broo sehem zote hakuna ambae ana solve mathematic anakalili acha kudangany umma wana mathe wote shule ziwe olevo au advance hakuna anaesoma kama gazeti siku zote mathe unavyo solve ndo unakuwa unafikilia zaid tumesoma na vipanga na walipata one za nne na tano walikuwa wana solve et usimame usem math inasomwa kama gazeti broo hauko serius tena unasem anae solve anakalili
Ningekupa Details za Mwalimu (Alienikataa) , Shule niliyosomea ukamtafute Mkurugenzi wake nahisi ungeamini.
Hesabu haiitaji Kusolve km unajua unafata utaratibu. Na ukitaka kuprove Angalia topic km MATHEMATICAL INDUCTION, SET, LINNER PROGRAMMING, HYPERBOLIC TRIG FUNCTION kwenye Advance Mathematics zote ni topic ambazo zimebase kwenye Assumption tu sasa Una solve mara Kwa mara kugundua nini? Km sio kuitaji Kukalili.
Note: Sikupingi mtu anaekalili nae ana faulu Kwa sababu anakuwa anafanya km marudio tu lkn akimaliza Shule mpe Mwaka moja tu hawezi tena akasolve Swali ukimpelekea.
..am getting some chills nikiyakumbuka yale mavitabu na vitini vya kina mgote, sir unga na wengineo miaka hiyo.