Pcb ndio combination ya kwanza niliyochagua,na niliichagua mara mbili.
Kula sana wakati huu ili uwe na calories za kutosha kuikabili hyo combination,
mbona hueleweki,mara amemaliza,mara niliyochagua,yupi ni yupi kuwa wazi kwamba mhusika ni wewe
anza tution ya physics topic ya mechanics