PCB ushauri jamani.

PCB ushauri jamani.

Tabalo

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2013
Posts
294
Reaction score
82
Hii wana jf,ni kijana wa kiume amemaliza form 4 mwaka jana na kapata division 2 ya pointi 20,anapenda kusoma PCB na ameifaulu vizuri kwa phy-c,chem-c na bio-b.SAsa anaomba ushauri jinsi ya kujianda kabla ya kuingia shuleni hiyo mwezi wa saba na usomaji wa pcb kwa ujumla hata atakapokuwa shuleni.msaada jamani
 
subiria selection na join instruction! PCB kombi rahisi sana
 
Pcb ndio combination ya kwanza niliyochagua,na niliichagua mara mbili.
 
Kula sana wakati huu ili uwe na calories za kutosha kuikabili hyo combination,
 
Mgalimie kijana wako mpeleke shule yenye facilities. Naye asome kwa juhudi na maarifa, atafanikiwa.
 
Back
Top Bottom