HEKIMA KWANZA
JF-Expert Member
- Mar 31, 2015
- 2,942
- 3,937
Sasa we akili ndefu tuambie ipo mahakamani au ndo wanakusudia kuipeleka mahakamani"Kesi ikiwa mahakamani haipaswi kujadiliwa na mhimili au mtu yeyote".
Hata akili fupi inalitambua hilo.
Watatumwa JWYaani Jeshi la Polisi kushitakiwa na TAKUKURU??
Na Jeshi la polisi likikaidi kwenda mahakamani, ni kina nani watatumwa waende wakalikamate hilo jeshi la Polisi? Polisi haohao??
Watatii sheria bila shurutiWatatumwa JW
Rais Magufuli awe makini na sakata hili!wanachunguza nini wakati Nipashe wameambiwa waombe msamaha na Bunge haina hata wiki kupita kuwa izo taharifa si za kweli...
DPP NI RAIA TU SI POLISI, ILA WENGI WA WAENDESHA MASHITAKA HUKU WILAYANI NI WAKAGUZI WA POLISI (POLICE INSPECTORS), NA HUYU BOSI WA TAKUKURU ALISHA WAHI KUWA POLICE COMMISSIONER, NA ALIKUWA NA MADARAKA YA REGIONAL POLICE COMMENDER (RPC) HUKO MWANZA.Hivi DPP nao ni polisi au? Na boss wa PCCB ametokea wapi? Baadhi ya wabunge wanashutuma za nini?
Inabidi tuwe na imani tu
Mkuu upo sahihi nilishangaa sana kuona ofisi ya Bunge kutumika kama kinga tena ya kujibu izi hoja wakati wao kwa kupitia kamati walitaka majibu baada ya kugundua ni ishu za watu wao Bunge tena linataka kusafisha kuwa Taharifa sio za kweli sasa kazi ya kamati ni nini..Rais Magufuli awe makini na sakata hili!
Watanzania wote wanamtazama kuona kama ana "double standard" au vipi! Taifa litakata tamaa kama suala hili litafumbiwa
macho, na mafisadi watatangaza ushindi dhidi ya watanzania na mtumbua majipu!
Magu amwangalie sana huyu mtendaji wake mkuu wa sirikali na spika wa chama wa zamani kwanini wanatumia nguvu nyingi kuzuia bunge lisionyeshwe live? wana madhambi hawa kama kweli anatumbua majipu mbona haya yako mdomoni hayatumbui?Waziri wa Mambo ya ndani Charles Kitwanga amekana kuhusika kabisa na kampuni ya Lugumi ambayo kwa sasa inakabiliwa na kashfa nzito ya rushwa na uhujumu uchumi ambayo ilipewa tenda ya kufunga vifaa vya kuchukulia alama za vidole kwenye vituo vyote vya polisi kwenye Wilaya zote nchini na kushindwa kukamilisha tenda hiyo.
Juhudi mbalimbali zinazofanywa kuujua ukweli wa sakata hili umepelekea taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa nchini(TAKUKURU) kutoa tamko la kuifungulia kesi mahakamani kampuni hii ya Lugumi pamoja na jeshi la polisi na kufanya uchunguzi wa kina wa sakata hili.
Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali(PAC) imewaita bungeni IGP pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ambapo watakuwa na kikao leo bungeni Dodoma na baadae baada ya kikao hicho ndipo wataweza kuongea na waandishi wa habari kuhusu suala hili.
Watasema swala liko mahakamani ili lisijadiliwe bungeni halafu Kesi itaondolewa na DPP mchezo kwisha na Watanzania tunavyosahau kwa haraka tukihoji tu... Wanazua ule Mchongo wa Escrow ya Stanbic kisha Lugumi anawekwa kando tukihoji Ile wanarudi na hukumu ya EGMA tunasherehekea baada ya miezi miwili jamaa wanaenda kufagia posta kisha yanakuwa huru. Basi mwaka unakuwa umeisha tunajipanga kwa season nyingine na nchi ndo inakuwa inasonga hivyo.Nina shaka na hii hatua ya PCCB kabla ya kikao cha bunge kama dhumuni lake sio kuzuia ili hii kashfa kwenda bungeni!!
WAENDELEE TU NA UMMA UTAZIDI KUPIGA KELELE.....ndiyo maana Nape Nnauye , Majaliwa na wengine wa CCM wanapinga bunge lisiruke live.