PCK amtisha Wema Sepetu, kuvujisha picha nyingine kama hatofunga nae ndoa

PCK amtisha Wema Sepetu, kuvujisha picha nyingine kama hatofunga nae ndoa

Alexander The Great

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2018
Posts
4,509
Reaction score
23,653
Mwanaume aliyesema kuwa alimtapeli mwanadada wema sepetu, hata baada ya kumtangaza kuwa ndie angetakiwa kuwa mme wake. Amemtumia SMS nyingi za kitisho mwanadada Wema Sepetu, kwa kumwambia kuwa kama atakuwa na wazo la kuhairisha kufunga nae ndoa basi hakutakuwa na maelewano kati yao.
2cb14fb17016cb50c23215b5faf99271-1.jpg


Mwanadada huyo ambae kwa sasa yupo katika wakati mgumu, hasa baada ya video zake akiwa na mwanaume huyo kuvuja. Anajikuta katika wakati mgumu tena kwa sababu mwanaume huyo bado amemtisha kuwa amekuwa na picha zake nyingi ambazo yeye hakuwahi kujua kama anazo na kama atakaa kuolewa nae basi atamchafua na picha hizo.

Katika maongezi hayo, ambayo yamevuja katika mitandao, mwanaume huyo anamwambia wema kuwa kitu cha kufanya kwa sasa ni kujitahidi kufunga nae ndoa kwa sababu yeye anamtaka wema na sio kitu kingine.
2cb14fb17016cb50c23215b5faf99271-1-1.jpg
2cb14fb17016cb50c23215b5faf99271-2-1.jpg


-Ghafla
 
hiyo sio shida kwa wema mana anajua atawaita vyombo vya habari na watamsikiliza na kumuamini
 
Sheria ya mtandao si hairuhusu kupost mapicha ya utupu ama mimi sijaelewa hii sheria... Apeleke taaarifa polisi incase yakitokea hayo anajulikana nani atakaekuwa amefanya hivyo.
 
Back
Top Bottom