PCK amtisha Wema Sepetu, kuvujisha picha nyingine kama hatofunga nae ndoa

PCK amtisha Wema Sepetu, kuvujisha picha nyingine kama hatofunga nae ndoa

Mnamtaftia kiki wema wakat kaishapotezwa. Yan inshort hakuna mwanaume mwenye akili timamu anayeweza muoa wema. Narudia tena ...HAKUNA MWANAUME MWENYE AKILI TIMAMU WAKUMUOA WEMA.
mkuu wasio na akili timamu watamuoa,halafu atakuwa ameshaolewa.
 
Haya makitu ya wanawake mimi sijawahi kuona utamu wake sijui yanawapagaisha watu kivipi? Kama kuna mtu anisimulie huenda nikaelewa maana huwa nayapa 5%tu
 
Nahisi kapata fununu kuwa labda kuna uchafu wake wanataka kuuweka hadharani hivyo anatumia janja janja tu ili ikitoka mtu wa kudingiziwa atakuwa keshapatikana. Sanaa tu hakuna kitu hapo.
 
Back
Top Bottom