NAGAMAHONGA
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 11,131
- 9,301
mkuu wasio na akili timamu watamuoa,halafu atakuwa ameshaolewa.Mnamtaftia kiki wema wakat kaishapotezwa. Yan inshort hakuna mwanaume mwenye akili timamu anayeweza muoa wema. Narudia tena ...HAKUNA MWANAUME MWENYE AKILI TIMAMU WAKUMUOA WEMA.
Mkuu humjui huyu demu.......domo alimuelezeaga kwa kina kipindi wanadate ndo nikamsoma!...bila kiki anakufwazzzHahahaa! Naona comment yako imetawaliwa na chuki dhidi ya huyo Wema...haya mkuu.
Pck chenga sana but huyo demu ni kimeo balaa...usiziamini hizo chats, mama ubaya kwa kiki hafai eti!PCK namuona naye kama ana matatizo kwenye afya ya akili? Namchukulia kama Deo Kisando au Nabii Tito flani hivi.
Wamekutana PIPA na MFUNIKO.Pck chenga sana but huyo demu ni kimeo balaa...usiziamini hizo chats, mama ubaya kwa kiki hafai eti!
Yaaani...pale hamna kituWamekutana PIPA na MFUNIKO.
Bullshit rejesha ujinga wako kwa instagraam na facebk .. ma great thinkers huwa hatudanganywe na vitu vya kutunga .. nyiye hizo note
mlizipata wapi ??punga we.