Pcm kupata kozi ya medicine.

Kissy methord

Member
Joined
Jun 27, 2013
Posts
38
Reaction score
3
Natumaini mko poa.
Nlikuwa naomba kujua kama kuna uwezekano wa mtu anaesoma soma combi ya PCM kupata kozi ya medicine..
Kama inawezekana ni vyuo vipi vinavyohusika???kwa hapa Tanzania.
Thanx!
Stay blessed
 
PCB & PCM, uwanja mbadala wa kujidai ni kwenye masomo ya busness sabbabu kubwa ya bAm, and pure math, eg ba in economics. bcom etc. Medicine labda diploma watakuchukua na penyewe kwa kutumia result ya o-level.. kwa degree waachie wa CBG and PCB.
 
Haiwezekani

Labda utumie matokeo ya O Level ukaanze na Clinical Officer then utakuwa unapanda taratibu hadi hiyo MD

Ukitaka Medicine directly nenda PCB
 
Ukiondoa ukiritimba wa kielimu tulionao watz...mchepuo wowote unaweza kukupeleka kozi yoyote maadamu "O" level ulifanya vizuri kwa kiwango cha "A".

Mf. "O" level ulipata A kwa masomo ya physics, chemistry, bios, basic maths then ukaenda na PCM ukapata A zote...unaquailfy kwa medecine...

Tanbihi: Ukiondoa ukiritimba usio wa lazima uliopo tz
 
Acha utan basi comb yeyote kozi yoyote basi hakuna haja ya kua na advance kijana unazan kila kozi kila mtu anaweza kusoma??kila mtu anafanya anachoweza kama unapenda biashara soma masomo ya biashara. Sio usome biashara advance af udai kusoma medicine chuo
 
ndio maana uganda watu wanasoma PCBM.

ukitoka hapo kila kitu unakiweza.

ila mzee nenda kasome engineering tu utapata dili nyingi tu!!
medicine ya tz ni uhuni mtupu. kutiana stress tu na maisha magumu.

unless uwe unapenda zile sifa tu za kwamba ‘huyu dr bwana'!!!
aafu wanakuconsult bila hata malipo wanaishia zao.
 
.......sure man,,,u r right!
 

haya bhana...ila we all seek to understand ...thats all,,thenx
 
Biomedical Engineering very promising field try if u can, sizan kama bachelor yake ishaanzishwa hapa Tz
 
What happened to passion in this country? What about one wanting to live a fulfilling life in a profession of one's choice instead of hunting for "dili"?
 
Hii habari ya combination haijawahi kuni-impress mimi. Inaweka limitations ambazo ni very unnecessary.
 
Hii habari ya combination haijawahi kuni-impress mimi. Inaweka limitations ambazo ni very unnecessary.
Na wanaosema "haiwezekani popote duniani", inakupasa kwanza kujua si dunia nzima wanatumia mfumo wa o-level na a-level. Hii mifumo haikuwekwa na Mungu. Ni binadamu wamejipangia, mara nyingi kwa kufuata mapokeo tu.
 
Ukiwa umesoma PCM na ufaulu mkubwa unaweza soma Medicine bila shida, Mwaka 2001kuba jamaa yangu tulimaliza nae PCM akapa 1point 3, kwa ss ni daktari bingwa pale MOI
 
Kama una qualification nzur kasome petroleum eng. Field nzuri for the next 20yrs of TZ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…