Ukiwa umesoma PCM na ufaulu mkubwa unaweza soma Medicine bila shida, Mwaka 2001kuba jamaa yangu tulimaliza nae PCM akapa 1point 3, kwa ss ni daktari bingwa pale MOI
Kama ni kweli hii kitu inawezekana,basi sio kwa hapa Bongo
Ndo nakuambia! Ila usije ukawa umepata div 3 ya mwisho utarajie kusoma hiyo kitu!
Ninayemuongelea hapo alikuwa na div 1 point 8 olevel.
Ila kwa sababu ya centralized application ya siku hizi hii inaweza sumbua, ila that's how mambo yalivokuwa
Kama una qualification nzur kasome petroleum eng. Field nzuri for the next 20yrs of TZ