Pcm kupata kozi ya medicine.

Pcm kupata kozi ya medicine.

Unaweza ukasoma Medicine kwa kutokea PCM, lakini kwa Tanzania ni ngumu sana.
 
Ukiwa umesoma PCM na ufaulu mkubwa unaweza soma Medicine bila shida, Mwaka 2001kuba jamaa yangu tulimaliza nae PCM akapa 1point 3, kwa ss ni daktari bingwa pale MOI

Kama ni kweli hii kitu inawezekana,basi sio kwa hapa Bongo
 
Ndo nakuambia! Ila usije ukawa umepata div 3 ya mwisho utarajie kusoma hiyo kitu!
Ninayemuongelea hapo alikuwa na div 1 point 8 olevel.
Ila kwa sababu ya centralized application ya siku hizi hii inaweza sumbua, ila that's how mambo yalivokuwa
 
poa poa kaka
 
Back
Top Bottom