PCB ni nzito kubeba sio ngumu.PCM ni ngumu sio nzito kubeba.Vile vile huwezi kulinganisha kombi mbili tofauti kwani kila mtu anauelewa wake ktk masuala mbali mbali na mara nyingi mtu wa PCM huwa anaigopa sana Biology na mtu wa PCB mara nyingi anaigopa maths except kwa wale wanaosoma PCB kwa mkumbo wa kufuata ajira ya udaktari.Au jiulize,pale shuleni kwenu zero nyingi na one kali nyingi zinatoka wapi sana sana kati ya PCB na PCM?Mi nadhani ni pote pote sema tu ni rahisi sana kupata maximum marks kwa PCM due to maths kitu kinachowafanya wengi wafikiri PCM ni rahisi but ukweli sio huo.Hivyo basi tambua ya kwamba,PCB ni rahisi ila kuibeba sasa ni mziki na PCM ni ngumu ila ukiibeba ni nyepesii.NB:Kwa mtu mwenye uwezo mzuri wa maths,PCM ni simple zaidi ya HKL bt kwa mtu ambaye maths kwake ni janga,PCM ni kisanga.Nadhani great thinkers mmenielewa.