PCM vs PCB

PCM vs PCB

pottasium

Member
Joined
Aug 30, 2013
Posts
91
Reaction score
5
OK inawezeka ulikuwa mdau wa hzo komb au laa we changia ucjal cha muhmu cc kujua ukwel et kat ya PCM &PCB unahis nan alikuwa serious sana na anapiga misuli mirefu lakini anaongoza kwa kukosa division FLD
 
Haya PCB
 
PCB ni ngumu kuliko PCM. Watu wa PCM wangewekewa nusu ya Biology kama ilivyo BAM wangeona moto wake
 
Nimesoma PCM ila msuli wa PCB ni noma. Ila naweza kusema ugumu na urahisi wa kitu upo kwa mtu mwenyewe!
 
mi mdau wa PCB ukwel combination ngumu na majority tumesoma diploma then tukajiendeleza PCB ngumu kuliko PCM
 
PCB ni nzito kubeba sio ngumu.PCM ni ngumu sio nzito kubeba.Vile vile huwezi kulinganisha kombi mbili tofauti kwani kila mtu anauelewa wake ktk masuala mbali mbali na mara nyingi mtu wa PCM huwa anaigopa sana Biology na mtu wa PCB mara nyingi anaigopa maths except kwa wale wanaosoma PCB kwa mkumbo wa kufuata ajira ya udaktari.Au jiulize,pale shuleni kwenu zero nyingi na one kali nyingi zinatoka wapi sana sana kati ya PCB na PCM?Mi nadhani ni pote pote sema tu ni rahisi sana kupata maximum marks kwa PCM due to maths kitu kinachowafanya wengi wafikiri PCM ni rahisi but ukweli sio huo.Hivyo basi tambua ya kwamba,PCB ni rahisi ila kuibeba sasa ni mziki na PCM ni ngumu ila ukiibeba ni nyepesii.NB:Kwa mtu mwenye uwezo mzuri wa maths,PCM ni simple zaidi ya HKL bt kwa mtu ambaye maths kwake ni janga,PCM ni kisanga.Nadhani great thinkers mmenielewa.
 
OK inawezeka ulikuwa mdau wa hzo komb au laa we changia ucjal cha muhmu cc kujua ukwel et kat ya PCM &PCB unahis nan alikuwa serious sana na anapiga misuli mirefu lakini anaongoza kwa kukosa division FLD

Tofauti yao ni M na B+BAM.Sa tuangalie kipi kigumu hapo kati ya M na B+BAM. NB: Usichukulie uzito kuwa ndo ugumu.
 
PCB ni nzito kubeba sio ngumu.PCM ni ngumu sio nzito kubeba.Vile vile huwezi kulinganisha kombi mbili tofauti kwani kila mtu anauelewa wake ktk masuala mbali mbali na mara nyingi mtu wa PCM huwa anaigopa sana Biology na mtu wa PCB mara nyingi anaigopa maths except kwa wale wanaosoma PCB kwa mkumbo wa kufuata ajira ya udaktari.Au jiulize,pale shuleni kwenu zero nyingi na one kali nyingi zinatoka wapi sana sana kati ya PCB na PCM?Mi nadhani ni pote pote sema tu ni rahisi sana kupata maximum marks kwa PCM due to maths kitu kinachowafanya wengi wafikiri PCM ni rahisi but ukweli sio huo.Hivyo basi tambua ya kwamba,PCB ni rahisi ila kuibeba sasa ni mziki na PCM ni ngumu ila ukiibeba ni nyepesii.NB:Kwa mtu mwenye uwezo mzuri wa maths,PCM ni simple zaidi ya HKL bt kwa mtu ambaye maths kwake ni janga,PCM ni kisanga.Nadhani great thinkers mmenielewa.

kias flan kjana umeeleweka
 
Tofauti yao ni M na B+BAM.Sa tuangalie kipi kigumu hapo kati ya M na B+BAM. NB: Usichukulie uzito kuwa ndo ugumu.

c unajua B lazima uwe na high capasty ya kukremu huwez ukawa na kichwa cha panz ukasoma biology ni tofaut na math washaurin wadogo zenu wanafuata majanga na wanakimbia pazur
 
Hakuna cha PCB wala PCM, inategemea unataka kufanya kazi gani baadae. Kama PCM ni rahisi si wangefaulu wote? hali kadhalika PCB kama ni ngumu asingefaulu mtu. No generalization!
 
Back
Top Bottom