zote sawa ila znazdiana kwa% chache ipi zaid mpigamsul nahs ww ulkuwa mdau wa hzo comb jna 2 linaonesha
Hahaha mkuu mimi HGL ,ila nimesoma nna marafiki zangu wamesoma pcb&pcm , kiukweli pcm masomo yana husiana sana yaani ni mahesabu tu kote ,ila PCB , Kitu biology mmh kinatishaaa ina notice balaa ,ukimrudisha pcb kwenye physics ni mzigo kwake matopic magumu ,calculation kibao , vitabu kama chandy, engineering physics duh hapo pcb anabaki akishangaa tu
c unajua B lazima uwe na high capasty ya kukremu huwez ukawa na kichwa cha panz ukasoma biology ni tofaut na math washaurin wadogo zenu wanafuata majanga na wanakimbia pazur
Mkuu bios noma mi sipigi advance ila nilipokuwa o level kuna sehemu nilikuwa napiga tuition nilikuwa nawaonaga majamaa wa pcb wakifundishwa ile CLASSIFICATION wanavyolalamika kama wamefosiwa.yaani bios full kumeza siku mbili we unajifunza kumchora panya na kumlabel.OK inawezeka ulikuwa mdau wa hzo komb au laa we changia ucjal cha muhmu cc kujua ukwel et kat ya PCM &PCB unahis nan alikuwa serious sana na anapiga misuli mirefu lakini anaongoza kwa kukosa division FLD
Mkuu bios noma mi sipigi advance ila nilipokuwa o level kuna sehemu nilikuwa napiga tuition nilikuwa nawaonaga majamaa wa pcb wakifundishwa ile CLASSIFICATION wanavyolalamika kama wamefosiwa.yaani bios full kumeza siku mbili we unajifunza kumchora panya na kumlabel.
c unajua B lazima uwe na high capasty ya kukremu huwez ukawa na kichwa cha panz ukasoma biology ni tofaut na math washaurin wadogo zenu wanafuata majanga na wanakimbia pazur
usidanganye ummah' bios inamezeka mbona kuna mshikaji wangu olevo bios hakua hata mtata na alipiga D.ila advance amekaza katusua fresh kala D yake kiroho safi saivi anajiandaa kuingia udsm. Ila mats kama haujui haujui tu. Ipo kama baiskel ukiweza umeweza ila labda upate ajali tu huko mbele na kama unachapanzi mats huwezi ipeleka
mi mdau wa PCB ukwel combination ngumu na majority tumesoma diploma then tukajiendeleza PCB ngumu kuliko PCM
no 2nataka 2 kujua ukwel c kuchonganisha ww kwa maon yako unathan ni ipi hata kama hukuwa mdau
Wanasema PCB ngumu kwa kuwa kuna Biology ambayo iko tofauti kidogo ya chemistry na physics,biology inahitaji kusoma sana theory na kukrem,But PCM wanaiona rahisi kwa kuwa wengi wanaoisoma wanakuwa wana background nzuri ya maths na masomo yote ndani ya PCM yanaendana yaani yote hayahitaji kumeza sana!
All in All PCM ni mziki bado,PCM ni kwa genius only while PCB ni kwa wasongokaji!
All those who are good at MATHEMATICS are global thinkers.
Mfano SIR. Isaac Newton.
one za tatu nyingi ni PCM,mbona za HKL hola wakati ni mdebwedo?
Natambua pia PCB ni mziki mnene.
Lakini all in all ni ngumu kutoa majibu sahihi mana tunaochangia hatujasoma hayo masomo mawili advance.
Ila ukiniambia nilinganishe katika PCM lipi ni somo gumu nitakwambia lakini pia majibu hayo ni kutokana na IQ yangu na hayawakilishi uhalisia,mfano kuna topic zilikuwa zinanikimbiza lakini topic hizo kwa wengine ni mdebwedo.
OK inawezeka ulikuwa mdau wa hzo komb au laa we changia ucjal cha muhmu cc kujua ukwel et kat ya PCM &PCB unahis nan alikuwa serious sana na anapiga misuli mirefu lakini anaongoza kwa kukosa division FLD