PCM vs PCB

PCM vs PCB

zote sawa ila znazdiana kwa% chache ipi zaid mpigamsul nahs ww ulkuwa mdau wa hzo comb jna 2 linaonesha

Hahaha mkuu mimi HGL ,ila nimesoma nna marafiki zangu wamesoma pcb&pcm , kiukweli pcm masomo yana husiana sana yaani ni mahesabu tu kote ,ila PCB , Kitu biology mmh kinatishaaa ina notice balaa ,ukimrudisha pcb kwenye physics ni mzigo kwake matopic magumu ,calculation kibao , vitabu kama chandy, engineering physics duh hapo pcb anabaki akishangaa tu
 
mshaur dogo wako askimbilie huko
 
c unajua B lazima uwe na high capasty ya kukremu huwez ukawa na kichwa cha panz ukasoma biology ni tofaut na math washaurin wadogo zenu wanafuata majanga na wanakimbia pazur

Naam naam naam.
 
OK inawezeka ulikuwa mdau wa hzo komb au laa we changia ucjal cha muhmu cc kujua ukwel et kat ya PCM &PCB unahis nan alikuwa serious sana na anapiga misuli mirefu lakini anaongoza kwa kukosa division FLD
Mkuu bios noma mi sipigi advance ila nilipokuwa o level kuna sehemu nilikuwa napiga tuition nilikuwa nawaonaga majamaa wa pcb wakifundishwa ile CLASSIFICATION wanavyolalamika kama wamefosiwa.yaani bios full kumeza siku mbili we unajifunza kumchora panya na kumlabel.
 
mtu wa PCM advantage yake ipo kwa kuwa akijua hesabu inamsaidia kuelewa chemistry mapema pia hesabu inamsaidia kusoma phsics, kwa PCB biology haikusaidii kujua physics pia chemistry ya advance inatofauti kubwa sana na ya olevel, olevel chemistry ilikuwa somo la kufaulu ila a-level mziki wa kemia asikwambie mtu kuanzia general mpaka in organic, kwa ujumla PCB masomo hayasaidiani
 
Mkuu bios noma mi sipigi advance ila nilipokuwa o level kuna sehemu nilikuwa napiga tuition nilikuwa nawaonaga majamaa wa pcb wakifundishwa ile CLASSIFICATION wanavyolalamika kama wamefosiwa.yaani bios full kumeza siku mbili we unajifunza kumchora panya na kumlabel.

kijana we acha 2 mana ilnisumbua ile hyo classfication niliipiga pending kabsa
 
c unajua B lazima uwe na high capasty ya kukremu huwez ukawa na kichwa cha panz ukasoma biology ni tofaut na math washaurin wadogo zenu wanafuata majanga na wanakimbia pazur

usidanganye ummah' bios inamezeka mbona kuna mshikaji wangu olevo bios hakua hata mtata na alipiga D.ila advance amekaza katusua fresh kala D yake kiroho safi saivi anajiandaa kuingia udsm. Ila mats kama haujui haujui tu. Ipo kama baiskel ukiweza umeweza ila labda upate ajali tu huko mbele na kama unachapanzi mats huwezi ipeleka
 
yaaap,maths kama huiwezi,huiwezi tu na kama unaiweza,ni rahisi mno.Ndo maana kwa advance watu wanapiga sana maths kwa sababu wengi wanaoisoma huwa wanaiweza lakini o level ile kitu inawaumiza wengi.
 
PCB ni noma asikwambie mtu!!
Wanaobisha waendelee kubisha kwakuwa ni tabia yao!
 
mi mdau wa PCB ukwel combination ngumu na majority tumesoma diploma then tukajiendeleza PCB ngumu kuliko PCM

Yaani sasa tunaanza kuongelea mambo ya high school?PCB au PCM zina ugumu gani?Kama unasoma shule za Kayumba utaziita ngumu!
 
Yaani haya makombi PCM & PCB
Kila m2 na mwono wake, mana kuya balance yoote matatu at the same tym yataka moyo,
kuna jamaa una kuta anasoma tu PC au PM na hasa wa PCB ndo utakuta anasoma tu PB, au CB, Kuna jamaa nilimwona TOSA MAGANGA yeye na chemistry tu ila ni PCB. Kwahyo unapochagua haya ucfanye ksa flan anafanya
 
Wanasema PCB ngumu kwa kuwa kuna Biology ambayo iko tofauti kidogo ya chemistry na physics,biology inahitaji kusoma sana theory na kukrem,But PCM wanaiona rahisi kwa kuwa wengi wanaoisoma wanakuwa wana background nzuri ya maths na masomo yote ndani ya PCM yanaendana yaani yote hayahitaji kumeza sana!
All in All PCM ni mziki bado,PCM ni kwa genius only while PCB ni kwa wasongokaji!
 
All those who are good at MATHEMATICS are global thinkers.
Mfano SIR. Isaac Newton.
one za tatu nyingi ni PCM,mbona za HKL hola wakati ni mdebwedo?
Natambua pia PCB ni mziki mnene.
Lakini all in all ni ngumu kutoa majibu sahihi mana tunaochangia hatujasoma hayo masomo mawili advance.
Ila ukiniambia nilinganishe katika PCM lipi ni somo gumu nitakwambia lakini pia majibu hayo ni kutokana na IQ yangu na hayawakilishi uhalisia,mfano kuna topic zilikuwa zinanikimbiza lakini topic hizo kwa wengine ni mdebwedo.
 
Haswaa!
 
Naaaam!
 
OK inawezeka ulikuwa mdau wa hzo komb au laa we changia ucjal cha muhmu cc kujua ukwel et kat ya PCM &PCB unahis nan alikuwa serious sana na anapiga misuli mirefu lakini anaongoza kwa kukosa division FLD

Dogo acha ufinyu wa mawazo!urahisi wa mchepuo ni kwa mtu husika ninasoma PCB lakini mambo kawaida. Kama unapenda unachokisoma na una uwezo wake hakuna tabu. NB:hata HKL inaweza kumpa mtu fulani shida kuliko PCB au PCM!
 
Wanasema PCB ngumu kwa kuwa kuna Biology ambayo iko tofauti kidogo ya chemistry na physics,biology inahitaji kusoma sana theory na kukrem,But PCM wanaiona rahisi kwa kuwa wengi wanaoisoma wanakuwa wana background nzuri ya maths na masomo yote ndani ya PCM yanaendana yaani yote hayahitaji kumeza sana!
All in All PCM ni mziki bado,PCM ni kwa genius only while PCB ni kwa wasongokaji!

Unaonekana umesoma au unasoma PCM! unaonekana mjinga bado unajiita jenius,ok! nikufundishe tafsiri ya jenius ni mtu mwenye uwezo wa kuelewa kwa urahisi no matter anasoma nini! suala la memory linahitajika sana kwa PCB na mambo ni mengi sana ukijipretend jenius kwa kutotumia mda mwingi katika masomo yatakushinda! all in all doctors must be serious people who are very cute with high thinking capacity!this proves that PCB is for the only genius!!
 
Back
Top Bottom