PCM vs PCB

PCM vs PCB

Unaonekana umesoma au unasoma PCM! unaonekana mjinga bado unajiita jenius,ok! nikufundishe tafsiri ya jenius ni mtu mwenye uwezo wa kuelewa kwa urahisi no matter anasoma nini! suala la memory linahitajika sana kwa PCB na mambo ni mengi sana ukijipretend jenius kwa kutotumia mda mwingi katika masomo yatakushinda! all in all doctors must be serious people who are very cute with high thinking capacity!this proves that PCB is for the only genius!!

Sure man.
 
Dogo acha ufinyu wa mawazo!urahisi wa mchepuo ni kwa mtu husika ninasoma PCB lakini mambo kawaida. Kama unapenda unachokisoma na una uwezo wake hakuna tabu. NB:hata HKL inaweza kumpa mtu fulani shida kuliko PCB au PCM!


Kumbe bado unasoma,...acha sisi tuliosoma tukupe vitu vipya.....!!

Everyone realy wanna have that 'A' grade,so as to feel creamy as he/she deserve to rip the fruits of the planted seed...unfortunetly most students taking pcb end up into frustruations,due to lower grades attained...!!

For PCB its very easy to estimate your marks at the examination room,but after marking its full of dissapointment...
Dogo kama unachukua pcb kuwa makini sana,hiyo kitu huwa inaaibisha sana
 
Back
Top Bottom