Usalama gani unaongelea wewe mkuu? tuelimishane
Navyofahamu mimi kuna watu wanajitolea hawapendi kuona haya makampuni yananyonya watu kwa faida kubwa. Je mi nikinunua sofwatre nikapata keys . Nikikupa hizo keys wewe itakuwa ni Pirate au nimeshare tu.
Dont get traped na na capitalism. sharing is good Piratebay na demonois is about sharing na ni nzuri hasa kwa nchi zetu na watu wengi hatuna uwezo. Na wenyewe wansema kama una uwezo go buy original CD
As a home user piratebay ni mkombozi wangu na nimeokoa kiasi kikubwa cha pesa. kama wewe una uwezo wa kununua au unauza hilo ni suala lingine
OS- New Windows 7 Home Premium Edition cost £149.99, while the Professional version cost about be £200.99 and the Ultimate Edition £229.99.
Antivirus- Cost is at about £30 pc
Microsoft Office full cost about- $399.9 per pc
Haya bado hapo hujaenda kwa kina adobe na wengine.
For most tanzania home user Piratebay or demonoid is FEASIBLE
SHARE SHARE SHARE SHARE SHARE SHARE.