KIMOMWEMOTORS
JF-Expert Member
- May 17, 2018
- 358
- 675
hongera sana!Na KIMOMWE MOTORS (T) Ltd- Waagizaji Magari
picha chini inaonesha jumla ya gharama kwa baadhi ya gari tulizoagiza kwa mwaka huu 2021. Hivyo ukihitaji kumiliki gari yako kutoka nje inaweza kugharim wastani wa gharama hizo hapo chini.
View attachment 1848452
Kaweka na faida kubwa ukienda beforward unapata chini ya hapo
Subaru Forester New vip?Na KIMOMWE MOTORS (T) Ltd- Waagizaji Magari
picha chini inaonesha jumla ya gharama kwa baadhi ya gari tulizoagiza kwa mwaka huu 2021. Hivyo ukihitaji kumiliki gari yako kutoka nje inaweza kugharim wastani wa gharama hizo hapo chini.
View attachment 1848452
kila la kheri boss. sisi sio mawakala wa BF pekee, tunashirikia na kampuni zaidi ya 12 zenye bei nafuu na magari yenye hali nzuri zaidi...tunachopata ni discount ambayo hii hua kama gharama za ofisi kwa sisi kubeba dhamana ya pesa yako. hesabu zote zafanyika waziKaweka na faida kubwa ukienda beforward unapata chini ya hapo
zinaanzia 20m bossSubaru Forester New vip?
ndio bossInapendeza sana...
Unaposema gharama zote ina maanisha ukilipa hicho kilichoandikwa hapo basi huongezi kingine chochote...
Ahsante kwa muongozo...ndio boss
Mbona kama umepanic? Naomba nikuulize maswali ya kibiashara kama hutojali kwa faida ya wote mimi, wewe na wasomajikila la kheri boss. sisi sio mawakala wa BF pekee, tunashirikia na kampuni zaidi ya 12 zenye bei nafuu na magari yenye hali nzuri zaidi...tunachopata ni discount ambayo hii hua kama gharama za ofisi kwa sisi kubeba dhamana ya pesa yako. hesabu zote zafanyika wazi
hapo tulijikita zaidi kwa models zinazoagizwa zaidi na Watanzania wengi mfano IST old tunamaanisha ya mwaka 2002 mpaka 2005, BMW X3 twamaanisha ya 2003 mpaka 2007, Volvo XC 90 twamaanisha ya 2003 mpaka 2007. Tukisema Passo twamaanisha ya 2004 mpaka 2007 n.kHaya magari ya mwaka gan?
kila la kheri boss. sisi sio mawakala wa BF pekee, tunashirikia na kampuni zaidi ya 12 zenye bei nafuu na magari yenye hali nzuri zaidi...tunachopata ni discount ambayo hii hua kama gharama za ofisi kwa sisi kubeba dhamana ya pesa yako. hesabu zote zafanyika wazi
Je magari ya aina moja Yana Bei sawa mnadani? Mfano, Raum je zote zinanbei being sawa?Na KIMOMWE MOTORS (T) Ltd- Waagizaji Magari