Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 135,167
- 160,806
Ni muhimu kufahamu maana wengine wana promote hivi unafanya nao biashara mzigo ukifika unashangaa kuna utitiri wa kodi zingine za ziada unatakiwa kulipia... ambazo hukuambiwa mapema...Hata kama mmeweka faida, bado bei zenu ni rafiki mno. Of course lengo la biashara yeyote ile ni kupata faida.
Pili, kuna swali ameuliza mhenga mwenzangu Smart911 kwamba hizo gharama mtu akilipa ndio anasubiria akabidhiwe funguo na mchuma aondoke nao ukiwa full masinonda?
Mwisho, IST Urban Cruiser inaweza kupatikana kwa kiasi gani? Gharama zote hadi nakabidhiwa.