Car4Sale PDF: Jumla ya Gharama za Kuagiza Baadhi ya Magari kwa Mwaka 2021

Befoward siku hizi bei zao zimechangamka kiasi.

Kimwomwe wana scheme ya kulipa kidogo kidogo ndani ya muda fulani.
Kampuni karibu zote za magari Japan kwa sasa unaweza kulipia 30% na gari lako likaanza kuja.. 70% inayobaki unaweza ukalipa kidogo kidogo.
 
Nikilipia hapo ndio nimemaliza nachukua funguo naingia barabarani au kuna gharama nyingine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…