PDF la vita inayoendelea DRC, wakongo wa Mashariki wanaonewa na serikali yao, wakombozi wao ni M23 na Rwanda

Ipange isomeke
 

View:
 
 

Attachments

  • FB_IMG_1738499021782.jpg
    57.7 KB · Views: 2
Aisee! Very nice.
Ngoja tuone mwisho utakuwaje
 
Yani sawa uku wapo watusi na huku watusi na ni nchi mbili tofauti, ukiacha usawa wa kabila hao ni raia wa nchi mbili tofauti, sasa huku walio congo wana mali walio Rwanda hawana mali , wanajifanya wa ndugu ili watumie undugu wao kutumia mali ni suala

ambalo halipo wewe kama unajiona ni mtusi na hutaki kuwa Raia wa kongo ondoka nenda uko unapopataka acha ardhi ya Congo, M23 ni watusi wa Rwanda wanaotaka kurudisha undugu kwa Watusi wa Congo kwasababu wanamali, kila ndugu atakupenda ukiwa na mali.
Wale lazima wawashangilie ndugu zao ila kiuhalisia kama wasingekuwa watusi kungechimbika. Congo hawajilewi wangelinda mipaka yao na Rwanda hasa apo katika jamii zinazoingiliana
 
Hujui chochote kuhusu Congo, Rwanda, Banyamulenge, M23 wala vita inayoendelea sasa hivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…