Pdiddy where are you?

winlicious

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2015
Posts
1,006
Reaction score
1,151
Habari jamani, nimemiss Vituko vya huyu ndugu hhaaaaaa, pdidy popote ulipo njoo utusalimie.
Mchanamwemakwenunyote
 
Hahaaaa winlicious

nipo banaaa nashukurusanaa kwa kunikumbuka ni neema ya mungu nilipata kaneema kadogo cha kuniweka busy .....kwa muda ...za uzimaa ntakuwa nanyi wakati wote ntakapokuwa huru .....kama mnavyojua na huyu mh hapa kazi tu inabidi tuanze kuamka saa kumiusiku ,,kuwaza kama bundle imeisha ujue saa nane mchana .....

Niliwamiss sana vipi nyereree yupo??
 
Ku MBE unaujuakuandKA Vizuri
 
hahaaaaa nmemiss Vituko vyako, siku moja mojaupitekutusabahi
 
mpuuzi kweli..kajijengea uzi kwa jina jingine la kike kujiulizia yeye mwenyewe...jinga kweli hili Pdidy..angalia post ya huyo aliemuulizia na post ya Pdiddy mwenyewe..muandiko ule ule..

Hili Pdidy jinga jinga sana
 
Mimi sio pdiddy ndugu yani kuona mwandiko tu umeshafanya conclusion....i just admire mwandiko wake ndio maana nikaiga kuandika....
By thewaymchanamwema
 
Mimi sio pdiddy ndugu yani kuona mwandiko tu umeshafanya conclusion....i just admire mwandiko wake ndio maana nikaiga kuandika....
By thewaymchanamwema

Ni wewe wewe....Huwezi sema una-copy mwandiko wa mtu wakati unaandika unconsciously!?

Plus,huku-acknowledge kua umejaribu ku-copy,ila umenyamaza.Wananchi tueleweje kama sio wewe wewe?

Kwa kumkumbuka tu,Pdidy sio mzima kabisa...Na kama alienda shule sijui alienda kusomea ujinga kabisa!

Hata CV yake sidhani kama anaweza andika.Au hata kumuandikia mama au baba yake ujumbe wa salamu tu?Halafu cha ajabu wanadamu tunapenda kushabikia mediocrity maana sisi wanadamu asilimia 95 ni wajinga,hivyo Pdidy akageuzwa kiongozi...It is unfortunate!

Tabia kama yako ya kujiandikia thread anayo Gentamycine pia...Hii hali inaonesha mpo confused na mna Identity crisis na ni attention seekers kupita maelezo!Hii ni tabia ya pathological liers,ambapo wasipodanganya wanaumwa..Ni disorder kabisa!
 
Aisee ngoja nisikujibu tu....how can i seek attentation with fake id? By the way never take serious na mambo yanayoandikwa humu otherwise utajaa upepo buree!!!
MIMI SIO PDIDDY HUTAKI ACHA.
 
Aisee ngoja nisikujibu tu....how can i seek attentation with fake id? By the way never take serious na mambo yanayoandikwa humu otherwise utajaa upepo buree!!!
MIMI SIO PDIDDY HUTAKI ACHA.

Mkuu

Sitaki,na nimeacha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…