Pdiddy where are you?

Pdiddy where are you?

Hahaaaa winlicious

nipo banaaa nashukurusanaa kwa kunikumbuka ni neema ya mungu nilipata kaneema kadogo cha kuniweka busy .....kwa muda ...za uzimaa ntakuwa nanyi wakati wote ntakapokuwa huru .....kama mnavyojua na huyu mh hapa kazi tu inabidi tuanze kuamka saa kumiusiku ,,kuwaza kama bundle imeisha ujue saa nane mchana .....

Niliwamiss sana vipi nyereree yupo??
Ukiambiwa Pdidy ni boss mahali unakataa.

Nahisi ni yule kijana wa mahitaa
 
Back
Top Bottom