mwakani naolewa
Senior Member
- Jul 25, 2024
- 148
- 426
Tutafteni pesa, kama tunavojua hapo nyuma PDidy alishtakiwa na Cassie kwa kumuingilia kimwili bila ridhaa yake na kumpiga (sexual abuse, physical abuse,) na kutokana na hiyo kesi Cassie alikuwa anataka kulipwa dola milioni thelathini(pesa nyingi sana) lakini sasa inasemekana PDidy na Cassie wame settle tofauti zao.
Inawezekana ni kweli Cassie alikuwa anataka hela kwa Diddy lakini baada ya kuibuka kwa kesi hiyo, victims wengine wengi wa Diddy wamejitokeza wakiwemo marafiki zake na Kim Porter aliyekuwa mama mtoto wa Diddy wakidai Diddy ndiye aliyemuua Kim na sio hao tu bali wapenzi wengine wengi wa Diddy aliowahi kuwa nao kwenye mahusiano wameleta malalamiko juu ya matendo aliyokua akiwafanyia PDidy . inawezekana Diddy ameamua kumlipa Cassie maana ameona hii inaelekea kubaya.