pedeshee hartman back to wife

pedeshee hartman back to wife

babukijana

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2009
Posts
14,478
Reaction score
18,341
hat.jpeg
baada ya misele miiiingi mkuu karudisha majeshi nyumbani,safi sana mzee uamuzi mzuri😎 inapendeza😎

source:jide blog.
 
Kamaliza mabucha kagundua nyama ni ile ile safi sana.
 
na kawashughulikia kwel kwel huyu jamaa kha.
 
Kamaliza mabucha kagundua nyama ni ile ile safi sana.
Mkuu, alikuwa anatumia risasi kwenye mabunduki feki.......sasa narudisha risasi home kunako AK47 yake.......bunduki sahihi kwa risasi alizonazo!
 
Kwa hiyo alikua anaproduce katika viuno vya watoto wa kike eeh....shauri yake mwili utamporomoka.
kaproduce,kapromote,kafanya kila kitu classmate wangu,yaani kaproduce weee kwenye hivyo viuno mpaka vimeprodyusika kisawasawa,mi nafurahi amekumbuka mlango aliotokea akageuza maana wengine wanapotea moja kwa moja.
 
shem we mtu wa maceleb kumbe sasa nimegundua!!!
he he shem hapana unajua wananifurahisha sana vijimambo vyao,mmh hiyo avatar vp?umekuja kivingine naona.
 
Kweli wanawake tuna kazi kenda kutumbua maisha na vidosho wengine sasa wanarudi..Ni kweli inatakiwa huyu mwanamama amuombe mmewe wakacheki kama afya ziko tambarare ndiomengineyo yafatie ..la sivyo hizi ni hbari za kukatishiana maisha.Ngoma inasambaa kwa kazi ya ajabu sasa
 
hiyo ndio imeniacha hoi maana jamaa alikua kama anafanya reseach ya hizo ndude.
 
Back
Top Bottom