babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
movie,music producer,a brother to mr2May we know who is he please?
Akapime kwanza ukimwi...
Asije muua mwenzake buree
na kawashughulikia kwel kwel huyu jamaa kha.
Mkuu, alikuwa anatumia risasi kwenye mabunduki feki.......sasa narudisha risasi home kunako AK47 yake.......bunduki sahihi kwa risasi alizonazo!Kamaliza mabucha kagundua nyama ni ile ile safi sana.
na kawashughulikia kwel kwel huyu jamaa kha.
Akapime kwanza ukimwi...
Asije muua mwenzake buree
Akapime kwanza ukimwi...
Asije muua mwenzake buree
kaproduce,kapromote,kafanya kila kitu classmate wangu,yaani kaproduce weee kwenye hivyo viuno mpaka vimeprodyusika kisawasawa,mi nafurahi amekumbuka mlango aliotokea akageuza maana wengine wanapotea moja kwa moja.Kwa hiyo alikua anaproduce katika viuno vya watoto wa kike eeh....shauri yake mwili utamporomoka.
he he shem hapana unajua wananifurahisha sana vijimambo vyao,mmh hiyo avatar vp?umekuja kivingine naona.shem we mtu wa maceleb kumbe sasa nimegundua!!!
he he shem hapana unajua wananifurahisha sana vijimambo vyao,mmh hiyo avatar vp?umekuja kivingine naona.
mzima mkuu vp wewe?tunapoteana sana jukwaani hapa,hahaa,naona mmekamilika mkuu inapendeza.Hahaaaaaaaaaa..BK bwana....mzima lakini?
hiyo ndio imeniacha hoi maana jamaa alikua kama anafanya reseach ya hizo ndude.Kweli wanawake tuna kazi kenda kutumbua maisha na vidosho wengine sasa wanarudi..Ni kweli inatakiwa huyu mwanamama amuombe mmewe wakacheki kama afya ziko tambarare ndiomengineyo yafatie ..la sivyo hizi ni hbari za kukatishiana maisha.Ngoma inasambaa kwa kazi ya ajabu sasa