Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,273
- 13,567
Habari za weekend.
Naanza kwa tafiti ziliyofanya tangu mwaka 2008 hapa nchini Tanzania (Tanganyika,Unguja na Pemba).Nilibahatika kufanya mahojiano na wadada/wamama wengi na kuwaaliza ni kitu gani wakitumia wanajihisi vizuri pindi wawapo kwenye hedhi.
Utafiti nimeufanya kwa takribani wadada/wamama elfu tano na zaidi ya robo tatu wameniambia wametuambia hupata muwasho,kubadilika rangi kwa sehemu zao za siri na kuwa nyeusi pindi watumiapo pedi za madukani majina ya pedi hizo kapuni kwa ajili ya kuheshimu biashara za watu.
Wengi wamesema kuwa wameacha na wanatumia vitambaa vya khanga,vitenge,mashuka nk na ni mara chache sana hutumia pedi za dukani kama kuna ulazima wa kufanya hivyo.Lengo la utafiti lilikuwa ni kubaini changamoto wapatazo wadada/wamama pindi wawapo kwenye hedhi.
Naamba kuuliza hapa je wadada/wamama mnapendelea kutumia kipi kati ya pedi au vitambaa.
ANGALIZO: Utafiti wangu umelenga kujenga afya/furaha ya wadada/wamama, sitapendelea kuona maneno ya kejeli au dharau kwa namna yeyote ile.Heshima ni bora kuliko chochote kile.
Nawasilisha.