Pedi VS Vitambaa

Pedi VS Vitambaa

Ulongupanjala

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
8,273
Reaction score
13,567
Habari za weekend.

Naanza kwa tafiti ziliyofanya tangu mwaka 2008 hapa nchini Tanzania (Tanganyika,Unguja na Pemba).Nilibahatika kufanya mahojiano na wadada/wamama wengi na kuwaaliza ni kitu gani wakitumia wanajihisi vizuri pindi wawapo kwenye hedhi.

Utafiti nimeufanya kwa takribani wadada/wamama elfu tano na zaidi ya robo tatu wameniambia wametuambia hupata muwasho,kubadilika rangi kwa sehemu zao za siri na kuwa nyeusi pindi watumiapo pedi za madukani majina ya pedi hizo kapuni kwa ajili ya kuheshimu biashara za watu.

Wengi wamesema kuwa wameacha na wanatumia vitambaa vya khanga,vitenge,mashuka nk na ni mara chache sana hutumia pedi za dukani kama kuna ulazima wa kufanya hivyo.Lengo la utafiti lilikuwa ni kubaini changamoto wapatazo wadada/wamama pindi wawapo kwenye hedhi.

Naamba kuuliza hapa je wadada/wamama mnapendelea kutumia kipi kati ya pedi au vitambaa.

ANGALIZO: Utafiti wangu umelenga kujenga afya/furaha ya wadada/wamama, sitapendelea kuona maneno ya kejeli au dharau kwa namna yeyote ile.Heshima ni bora kuliko chochote kile.

Nawasilisha.
 
Bora pads.hizo vitambaa naona ni kero sana japo ndo wanasema ni safe zaidi.ila buh!vikae kushoto
 
Hupati muwasho au kubadilika rangi huko ukeni? Hutumia pedi ngapi kwa siku? Samahani lakini!

Bora pads.hizo vitambaa naona ni kero sana japo ndo wanasema ni safe zaidi.ila buh!vikae kushoto
 
Hupati muwasho au kubadilika rangi huko ukeni? Hutumia pedi ngapi kwa siku? Samahani lakini!

Mmmmmh.ngapi kwa siku.doh!
Depends where i am,the flow.ndo inadetermine ngapi ntatumia.
Kuhusu rangi.hapana.niko fine.
 
Miaka mingi sana niliacha kutumia vitambaa, japo pedi zinazingua kama hutakaa nayo long time asubuhi hadi sa 4 usiku ndo unavua hapo unategemea nini? vitambaa kama unavuja sana ni lazima utatumia tu, pia kwa wale wadada wa majumbani vitambaa sio mbaya kivile, ila wale washindao ofisini ni shida.
 
Pedi ni nzuri sana tena sana na kama hao wanaolalamika huwa hawatumii ipasavyo na tena niwachafu, kwa nn usichubuke wakati umeivaa masaa 9? badili mara 3 au 4 alafu angalia kama kuna madhara.
 
pads za HQ-Human Cherish ni nzuri sana,ziko soft na harufu nzuri,Always for me sio user friendly kabisa,
depending on the flow but nabadilisha mara 4 au 5 kwa siku,kunawa na maji na kubadili mara nyingi kunasaidia kutunza ngozi on those days
joto linakuepo sema ndo hvo utafanyaje ushaumbwa wa kike
uzuri wa pads ni disposable,kufua vitaulo si Kazi ndogo
 
ndo mara ya kwanza naskia vitambaa!!!! with all the pads out there..... labda ukose hela ila sio kwa kupenda!!!
 
ped hasa hq zinanifanya niwe huru, vitambaa nitakua feni kuzunguka kujiangalia..
pia kufua hayo mavitu mmmh ni kazi ila itabidi nitatumia
 
Du kwanza kwa environment which sorround us no time to wash vitaulo n others , vko vizuri but it depend na mazingira
 
pads za HQ-Human Cherish ni nzuri sana,ziko soft na harufu nzuri,Always for me sio user friendly kabisa,
depending on the flow but nabadilisha mara 4 au 5 kwa siku,kunawa na maji na kubadili mara nyingi kunasaidia kutunza ngozi on those days
joto linakuepo sema ndo hvo utafanyaje ushaumbwa wa kike
uzuri wa pads ni disposable,kufua vitaulo si Kazi ndogo
hata ukiweka zenye harusu nzuri, huko mahali kwenu huwa sio kusafi hata kulamba huwa tunalamba basi tu. kunatisha ati..mara damu inatoka, mara utoko kibao,mara fungs yaani ni shiiidaaa. all in all, huwa sipigi gemu bila kulamba na nihisi ile harufu yake inaingia puani mwangu.
 
Back
Top Bottom