Pedi zilizotengenezwa kwa mimea asili zinauzwa

Pedi zilizotengenezwa kwa mimea asili zinauzwa

Mr Suprize

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2014
Posts
869
Reaction score
961
Habarin wapendwa,

Nauza pedi zilizotengenezwa kwa mimea asili na ni dawa kwa wenye matatizo sehemu za siri.

Mfano mwasho,fangasi,kutoziona siku zako n.k.

Nakuletea popote pale ulipo.

Nitafute kwa namba +255765656793
 
Taja mmea ulitumika kutengenezea.
Bei ya hiyo bidhaa.
Zinatengenezwa wapi.



Maana hata dawa za kuongeza makalio zimetengenezwa kwa mmea asili.
 
Back
Top Bottom