Pump ina uwezo gani.Habari za leo wakuu,
Nimenunua pedrollo 0.5 hp
water pump kwa ajili ya
matumizi ya kujaza maji
kwenye matenki ya matumizi
madogomadogo hapa
nyumbani lakini kila nikiwasha
na nikifanya primming naona
bado haiwezi kupandisha maji,
Yeyote aliyewahi kukutana na
changamoto kama hii
naomba msaada,
Nb: pump ni ile ya nje sio ya kuzamisha
Natanguliza shukrani
Nina maswali machache kabla ya kukushauri:-Habari za leo wakuu,
Nimenunua pedrollo 0.5 hp
water pump kwa ajili ya
matumizi ya kujaza maji
kwenye matenki ya matumizi
madogomadogo hapa
nyumbani lakini kila nikiwasha
na nikifanya primming naona
bado haiwezi kupandisha maji,
Yeyote aliyewahi kukutana na
changamoto kama hii
naomba msaada,
Nb: pump ni ile ya nje sio ya kuzamisha
Natanguliza shukrani
Kwa maelezo ya mleta mada, inaonekana hiyo pump yake sio submersible pum.ulivyo install urefu wa kuvuta umekuja ngapi ? urefu wa kupandisha umekuja ngapi ?
je umeweka non-return valve kule chini ?
Unafanyaje hiyo priming yako na supply yako ni ya aina gani? Pump za kawaida hizi haziwezi kufanya kazi kama kuna "upepo" unaingia kwenye supply line na kwa ninavyoijua supply ya dawasco ni ndogo haiwezi kukidhi mahitaji ya pump so pump inapump kwa kasi kuliko supply, matokeo yake ni "upepo" ndani ya pump na kupoteza uwezo wa kusukuma, pia liki yoyote upande wa supply unaleta tatizo hilo. Unaweza kuliona hilo maji yatatoka kwa kukata kata ukiangalia upande wakutolea maji.Habari za leo wakuu,
Nimenunua pedrollo 0.5 hp
water pump kwa ajili ya
matumizi ya kujaza maji
kwenye matenki ya matumizi
madogomadogo hapa
nyumbani lakini kila nikiwasha
na nikifanya primming naona
bado haiwezi kupandisha maji,
Yeyote aliyewahi kukutana na
changamoto kama hii
naomba msaada,
Nb: pump ni ile ya nje sio ya kuzamisha
Natanguliza shukrani
Primming nafanya kupitia secondary primming port iliyopo kwenye pump mkuu,Unafanyaje hiyo priming yako na supply yako ni ya aina gani? Pump za kawaida hizi haziwezi kufanya kazi kama kuna "upepo" unaingia kwenye supply line na kwa ninavyoijua supply ya dawasco ni ndogo haiwezi kukidhi mahitaji ya pump so pump inapump kwa kasi kuliko supply, matokeo yake ni "upepo" ndani ya pump na kupoteza uwezo wa kusukuma, pia liki yoyote upande wa supply unaleta tatizo hilo. Unaweza kuliona hilo maji yatatoka kwa kukata kata ukiangalia upande wakutolea maji.
Katatua hilo ndo maana kama supply yako sio ya uhakika inabidi uweke matenki mawili moja chini ambalo linajazwa na supply mbovu kisha pump inachukua maji kutoka humo na kupeleka tanki la juu.
Pia of coz pump zina limit ya kupandisha kama ni juu sana. 0.5HP labda 50 meters kwa shida.
Kama unanyonya kutoka chini/kisima kuna mambo mengine ya kuzingatia, hauwezi kunyonya maji zaidi ya meter 7-8 bila ya kujali aina ya pump.
Meter 3 kwenda juu (unanyonya) au usawa mmoja na tenki? Kama A au B?Primming nafanya kupitia secondary primming port iliyopo kwenye pump mkuu,
Supply yangu ni ya uhakika maana navuta maji kutoka kwenye tenki lililojazwa maji kutoka bombani ambalo urefu wake hauzidi hata mita tatu mkuuView attachment 2812589