Pekeyangu nitashindwa msaada tafadhali

Pekeyangu nitashindwa msaada tafadhali

mahroof

Member
Joined
Jul 9, 2015
Posts
50
Reaction score
63
Mimi ni mhitim wa kidato cha sita mwaka huu mchepuo hge na nimefaulu vizuli.

tatizo
Mtihan wa formfour nilifanya malambili yani nili reseat kuongezea credit jana katika kujaza chuo nilipo fikia sehem ya kuingiza namba ya formfour ilinibidi niingize marambili marayakwanza ilikuwa ni namba ya formfour kabla ya kureseat na mara ya pili ilikuwa ni baada ya kureseat but cha ajabu baada tuu ya kuingiza ile ya pili iligoma na kuniletea kuwa majina hayaendani.jina ka kwanza limeandikwa vizuri lakini jina la ili linaloma kati ya first name na sir mame.

Msaada kwa anajua hili.wapi nianzie kulishughulikia hili ili mwaka huu nisikose chuo.
 
kwani hayo majina ni kweli yapo tofauti? maana wewe ndo mwenye hayo majina kama kuna tofauti au wakati una reseat ulibadili jina hata kwa herufi moja tu basi inakuwa imekula kwako
 
kwani hayo majina ni kweli yapo tofauti? maana wewe ndo mwenye hayo majina kama kuna tofauti au wakati una reseat ulibadili jina hata kwa herufi moja tu basi inakuwa imekula kwako

Cheti Kimoja Kina Koma Kati Ya Sir Name Na First Name Lakini Kingine Hakina
 
Kama upo dar nenda pale baraza la mitihani mwenge bamaga..watafumbua tatizo. Huwezi kupata chuo. Hayo majina ni tatizo, hasa kwenye hyo koma.
 
Back
Top Bottom